Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TATIZO NI MADENTI AU WATU WAZIMA?-2

Wiki iliyopita, niliweka mada ambayo niliwaomba wasomaji wote wenye nafasi kuchangia maoni yao juu ya kipi hasa kinachosababisha kuwepo kwa wingi kwa uhusiano wa kimapenzi baina ya wanafunzi (wa msingi, sekondari na vyuo) na watu wazima, ambao tayari ama wana uhusiano na wenza wao ambao siyo wanafunzi, au wameoa kabisa. Ni jambo la kushukuru kwamba wadau wengi walijitokeza na kutoa maoni yao juu ya chanzo cha tatizo hili. Kila...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TATIZO NI MADENTI AU WATU WAZIMA?

NIMEWAHI kukaa zaidi ya miezi sita bila kufika mjini. Wenye jiji lao wanakuambia Dar es Salaam mjini ni maeneo ya Posta, kule kwenye mitaa ya Ohio, Indira Ghandi, Samora, Sokoine, Zanaki, Azikiwe, Magogoni, Garden, Maktaba na kadhalika. Eti ukisema unaenda au ulikuwa mjini, basi mjanja anajua ndiyo kule, lakini vinginevyo sema nipo au nakwenda Mwenge, Magomeni, Kariakoo, Ilala, Temeke, Ubungo, Kigogo, Kigamboni, Kinondoni, Kawe,...

 

10 years ago

GPL

WATU WAZIMA WASAIDIAPO KUWAVUSHA WATOTO BARABARANI

Watoto (kulia) wakijiandaa kuvuka Barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam. Msamaria mwema akiwavusha barabarani  wanafunzi. KUONGEZEKA kwa magari mijini kumekuwa ni tatizo kwa watoto, hususani wanafunzi, katika kuvuka barabara mbalimbali, ambapo watu wazima wana wajibu wa kusaidia kuwaongoza na kuwavusha ili kuepusha…

 

10 years ago

Mwananchi

Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima haivumi lakini imo

Ni miongoni mwa taasisi kongwe za elimu nchini zilizovuma kwa kiwango kikubwa miaka ya 1970 na 1980.

 

5 years ago

BBCSwahili

Fahamu kwa nini vijana wanaogopa kuwa watu wazima

Lakini je vijana wa siku hizi wanachukuliaje maisha ya kuanza kuwa mtu mzima?

 

11 years ago

Mwananchi

Nusu ya watu wazima nchi wanatumia simu kwa huduma za kifedha

Matokeo ya utafiti wa FinScope Tanzania 2013 uliozinduliwa mjini Dar es Salaam mwanzoni mwa mwezi huu, yanatoa mwanga kuhusu mitazamo ya watu na tabia kuhusu hali zao kifedha.

 

11 years ago

Michuzi

TOTAL YAZINDUA AWANGO KUMALIZA TATIZO LA UPATIKANAJI WA UMEME KWA WATU WA KIPATO CHA CHINI TANZANIA

Mgeni rasmi, Waziri wa Nishati na Madini, Mh. Prof. Sospeter Muhongo akihutubia wageni waalikwa (hawapo pichani) waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa bidhaa za AWANGO uliofanyika ndani ya hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam, usiku wa jana. Waziri Muhongo aliwapongeza TOTAL kwa juhudi wanazozifanya kusaidia jamii ya Watanzania kupata chanzo cha nishati kitakachowaletea maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Pembeni ni baadhi ya bidhaa hizo zinazotumia nishati ya jua. Waziri wa...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete, Kenyatta wazima mpasuko

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya walipokutana jijini Windhoek, Namibia kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais mpya wa nchi hiyo, Dk Hage Geingob mwishoni mwa wiki. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete na Uhuru Kenyatta wa Kenya wameingilia kati mgogoro uliopo baina ya mataifa hayo mawili kuhusu masuala ya usafirishaji na utalii.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtandao wa K.kazkazini wazima,ni kisasi?

Mtandao wa Korea kazkazini ulizimika kwa masaa kadhaa na kuzua uvumi kwamba huenda Marekani imeanza kulipiza kisasi

 

11 years ago

Mwananchi

Vijana wazima na wazee wazimu

Mheshimiwa Makengeza na utu uzima na uzee wako wote kwanza shikamoo!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani