Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana wazima na wazee wazimu

Mheshimiwa Makengeza na utu uzima na uzee wako wote kwanza shikamoo!

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Fahamu kwa nini vijana wanaogopa kuwa watu wazima

Lakini je vijana wa siku hizi wanachukuliaje maisha ya kuanza kuwa mtu mzima?

 

10 years ago

GPL

Vijana wapiganie sasa haki ya kugombea urais, Vijana wasisubiri wazee wawaruhusu kugombea urais

Patrice Lumumba. Julius Nyerere. Na Walusanga Ndaki
IJUMAA moja ya alasiri na kiangazi jijini Dar es Salaam, mwandishi wa makala hii ambaye sasa ana umri wa miaka 60 alikuwa akifanya mzaha wa kupiga danadana mpira wa miguu nje ya ofisi yao kabla ya kwenda kwenye mechi ya soka kati ya timu ya ofisi yake na taasisi moja ya habari. Mwandishi huyo alifanya hivyo kwa umahiri mkubwa kwa kama dakika tano mbele ya wafanyakazi wenzake...

 

10 years ago

Habarileo

JK akerwa vijana nchini kutumika na wazee

TABIA ya vijana wa sasa ya kuchukua fedha kutoka kwa wazee na kuwagawia vijana wenzao ili kurahisisha mambo kwa wazee hao, imeonesha kumkera Rais Jakaya Kikwete.

 

11 years ago

BBCSwahili

Utafiti:Ni sawa kwa wazee kuwa na vijana

Utafiti mpya umewaunga mkono wanawake wazee walio na wapenzi vijana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana wanaotaka uongozi wanaukana ushirika wao na wazee?

KIASI cha kama wiki moja hivi iliyopita nilikuwa Bukoba. Nikaenda sehemu inaitwa Bukoba Club kutafuta mlo wa mchana. Wakati nikisubiri mlo wangu, alikuja mtoto mmoja mvulana aliyeniambia ana miaka kumi...

 

11 years ago

Michuzi

WAZEE WA KIMILA NA WAKIDINI WAASWA KUKAA NA VIJANA KUEPUKA MAOVU

a.KATIBU mkuu wa umoja wa vijana ccm (UVCCM) Taifa , Sixtus Mapunda wa pili kulia akiwa anatoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya ziara yake katika mkoa wa Arusha b.
Waandishi wa habari wakiwa kazini
KATIBU mkuu wa umoja wa vijana ccm (UVCCM) Taifa , Sixtus Mapunda amewataka wazee wa kimila (malwaigwanan), viongozi wa dini pamoja na wazazi kutumia muda wa ziada  kukaa na vijana wao na kukemea kuacha mara moja kutumiwa katika vitendo viovu vinavyoendelea mkoani hapa.

Alisema kuwa ,...

 

10 years ago

Vijimambo

NYAMA CHOMA NA MECHI YA VIJANA NA WAZEE DMV MAY 23 MEADOWBROOK PARK

 Timu ya Wazee Timu ya VijanaDave akimteza kipa wa Wazee Said Mwamende
Siku ya Jumamosi May 23, 2015 kutafanyika mechi kati ya wazee na vijana itakayokwenda sambamba na nyama choma katika viwanja vya Meadowbrook Park 7901 Meadowbrook Lane Chevy Chase, MD 20815.

Kwa wachezaji timu ya Wazee tafadhali wasiliana na nahodha wa timu Mude 202 644 1829
na kwa timu ya Vijana wasiliana na Yusuf 202 710 9019

 

10 years ago

StarTV

Hofu ya vijana kushindwa kuwatunza wazee yadaiwa kuchangia vifo.

 

Hofu ya vijana wengi ya kutokuwa na uwezo wa kuwatunza wazee imesabanisha wazee wengi kuuawa kwa kusingiziwa kuwa ni wachawi kwa kigezo cha kuwa na macho mekundu.

Hayo yamebainika katika kikao kati ya wazee na wandishi wa habari mkoani Ruvuma walipokuwa wakijadili kuhusu kuuawa kwa wazee kunakodaiwa kutokea katika kata ya Lilambo ambako wazee wamekuwa wakinyeshwa dawa inayosadikiwa kuwa ina sumu na mara baada ya kunyweshwa hupoteza maisha.

 

Wanawake wazee wakiongea kwa uchungu wamesema...

 

10 years ago

GPL

SABABU YA WANANDOA VIJANA KUHAMIA KWA WAZEE HII HAPA

Asalam alaikum /Bwana Yesu asifiwe. Bila shaka mpo sawasawa. Kwa wagonjwa nawaombea kwa Mungu awape uzima tele.Leo nimeamua kuja na mada hii kwa sababu siku hizi si ajabu kusikia mwanaume f’lani anatoka na mwanamke ambaye si rika lake. Au anatoka na mwanamke wa kuweza kumzaa yeye, kwa maana ya mama. Hii si ajabu kabisa kutokea. Je, kwa hili mnadhani sababu ni nini? Wanawake wadogowadogo siku hizi hawaolewi. Na hata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani