TAYARI KISHALIA HAPA.....

Gari la kubeba wagonjwa la Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es salaam lenye nambari za usajili SM 9058 likiwa limeigonga kwa nyuma gari nyingine aina ya Toyota Mark II lenye nambari za usajili T 230 ATW kwenye makutano ya mtaa wa Uhuru na Msimbaji.
Madereza wa magari yote mawili wakiwa kwenye maelewani mara baada ya kutokea ajali hiyo,mchana wa leo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
kishalia hapa usiku huu

10 years ago
Vijimambo23 Mar
HAPA HUDDAH HAPA ZARI BILA DIAMOND HUKO KENYA KULIKONI









10 years ago
Michuzi11 Jul
10 years ago
Vijimambo
PICHA 5 ZA USHAHIDI KUWA MAGUFULI HAKAMATIKI HIZI HAPA ONA LIVE DODOMA HAPA!!

Dr Magufuli ndiyo habari ya mjini hii ni ndani ya Dodoma na kutoa ujumbe wakusema kuwa Wafanyakazi wazembe,Nitalala nao mbeleeeeee




11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Baby Madaha: Diamond wa hapa hapa
MWANADADA anayetamba kimataifa kupitia kazi zake, Baby Joseph ‘Baby Madaha’, amedai mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’ hamuwezi kwa lolote kwani yeye yupo kimataifa zaidi....
10 years ago
Vijimambo20 Jan
HII HAPA INAMHUSU YULE KIKONGWE ALIYEVUNJA HISTORIA KWA KUJIANDALIA JENEZA, HIZI HAPA SABABU ZINAZOMFANYA AJIANDAE KWA KIFO