Tayoa yaendesha mdahalo na wanafunzi kwa Tehama
![](https://1.bp.blogspot.com/-U5H_gMNo-Q4/XunXekkdJZI/AAAAAAALuMQ/nxehCudz85wkC6T0yHA69ZTxSe-es6E-QCLcBGAsYHQ/s72-c/lilian.jpg)
Na Mwandishi WetuSHIRIKA la Vijana Nchini (Tayoa) kwa ufadhili wa Wizara ya Afya kupitia mradi wa Global Fund, limefanya mdahalo wa kwanza kupitia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) ambapo zaidi ya wanafunzi na viongozi wapatao 680 wameshiriki.
Mdahalo huo wa Timiza Malengo 2020 ulifanyika kwa njia ya mtandao wa Zoom ulishirikisha wanafunzi 680 na wakuu wa vitivo 40 kutoka taasisi 32 za elimu ya juu nchini uliandaliwa na Tayoa kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/DSC_0107.jpg)
UNESCO YAENDESHA MAFUNZO YA TEHAMA KUHUSU MABADILIKO YA RADIO JAMII
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Kampeni ya GROW yaendesha mdahalo wa kuhamasisha wakulima wadogo wadogo wanawake
10 years ago
Vijimambo02 Oct
KAMPENI YA HAKI YA UCHUMI KATIKA MASWALA YA KILIMO YAENDESHA MDAHALO WA KUHAMASISHA WAKULIMA WADOGO WADOGO HUSUSANI WANAWAKE.
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Tayoa lazindua shindano la ujasiriamali kwa vijana
SHIRIKA la Tanzania Youth Alliance (Tayoa), kupitia mradi wa Vijanatz Microfinance kwa ufadhili wa Benki ya NBC limezindua mfululizo wa mashindano ya kutafuta na kukuza mawazo ya ujasiriamali kwa vijana...
9 years ago
BBCSwahili08 Oct
Wafungwa wabwaga wanafunzi wa Harvard kwenye mdahalo
10 years ago
Tanzania Daima19 Sep
TACAIDS waipongeza Tayoa
MAKAMISHNA wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), wamepongeza kazi zinazofanywa na Shirika la Vijana Tayoa katika kupambana na virusi vya Ukimwi kwa vijana na watu wazima. Pongezi hizo zilitolewa...
11 years ago
MichuziTPA yaendesha semina kwa wakuu wa idara na wawakilishi wa Wafanyakazi ya mkataba wa huduma kwa mteja
10 years ago
Habarileo02 Jul
‘Tumieni tehama kwa maendeleo’
VIJANA nchini wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kujiletea maendeleo yao binafsi na ya nchi.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Bvt5RuTSCtA/XteoeoMG5tI/AAAAAAALsgo/Kc9AmjZD1os5AeYP2aivaoEJl9BQCgevgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-03%2Bat%2B4.10.13%2BPM.jpeg)
ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI
![](https://1.bp.blogspot.com/-Bvt5RuTSCtA/XteoeoMG5tI/AAAAAAALsgo/Kc9AmjZD1os5AeYP2aivaoEJl9BQCgevgCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-03%2Bat%2B4.10.13%2BPM.jpeg)
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...