Tayoa lazindua shindano la ujasiriamali kwa vijana
SHIRIKA la Tanzania Youth Alliance (Tayoa), kupitia mradi wa Vijanatz Microfinance kwa ufadhili wa Benki ya NBC limezindua mfululizo wa mashindano ya kutafuta na kukuza mawazo ya ujasiriamali kwa vijana...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
MAFUNZO YA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWA WASHIRIKI WA SHINDANO LA MASHUJAA WA KESHO MKOANI MTWARA YAMALIZIKA

Akibainisha aina ya mafunzo ya ujasiriamali waliyopata vijana hao, ErickMchome Afisa Mahusiano wa Statoil-Tanzania amesema kuwaMafunzo waliyopata vijana hao yamelenga kuwawezesha vijana kuandika mpango wa biashara ikiwa ni hatua ya awali katika harakati za ujasiriamali.
Pamoja na hilo...
9 years ago
MichuziBenki ya NBC yawezesha mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana
11 years ago
MichuziTAASISI YA NKWAMIRA KUTOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA 200

9 years ago
Michuzi
Stanbic yafanikisha shindano la kukuza ujasiriamali nchini la SeedStars.
Katika mkakati wake wa kukuza ujasiriamali na ubunifu wa miradi endelevu nchini,Benki ya Stanbic imedhamini shindano la Seedstars World kwa ajili ya wajasiriamali wenye mawazo ya miradi endelevu ambalo limefanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Kwenye shindano hilo kampuni ya Juabar imeibuka na ushindi wa kushiriki kwenye shindano la ngazi ya kimataifa litakalofanyika nchini Uswisi mwezi Februari mwakani ambapo itawania kitita cha Dola za Kimarekani 500,000 kwa ajili ya kufanikisha...
11 years ago
Michuzi
mambo ni mswano kwa vijana wa mtwara, kampuni ya Statoil yaendesha shindano la kuwaendeleza


5 years ago
Michuzi
Tayoa yaendesha mdahalo na wanafunzi kwa Tehama

Mdahalo huo wa Timiza Malengo 2020 ulifanyika kwa njia ya mtandao wa Zoom ulishirikisha wanafunzi 680 na wakuu wa vitivo 40 kutoka taasisi 32 za elimu ya juu nchini uliandaliwa na Tayoa kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,...
9 years ago
MichuziAIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI: Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa
Wafanyabishara wadogo na wa kati zaidi ya 300 waliopo katika wilaya mbali mbali mkoani Tanga wameongezewa ujuzi wa elimu ya biashara ili waweze kufanya shughuli zao kwa ufanisi na kuweza kuongezaza kipato chao na kuchangia pato la taifa. Kampuni ya Airtel Tanzania, kupitia mpango wake wa “Airtel Fursa Tunakuwezesha” imewapatia mafunzo ya ujasiriamali vijana wa manispaa ya Tanga kwa lengo la kuwawezesha kuboresha uendeshaji biashara na kukuza mitaji yao katika warsha iliyofanyika katika...
11 years ago
Mwananchi15 May
Vijana tujifunze ujasiriamali ajira hakuna
Serikali nyingi duniani, ikiwamo ya Tanzania zinahaha kuhakikisha zinawapa ajira vijana wake wanaotaka shuleni na vyuoni. Lakini pamoja na juhudi hizo hali bado tete.
10 years ago
Michuzi
Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Bibi Ester Makalili akizungumza na ujumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo walipomtembelea ofisini kwake kabla ya kukutana na vijana wa Wilaya hiyo kutoa mafunzo ya Ujasiriamali, Stadi

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania