Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tazama matukio ya leo ya kihistoria ya wagombea wakirudisha fomu


Edward Lowassa amerudisha fomu ya kugombea urais Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Dkt. John Pombe Magufuli amerudisha fomu ya kugombea urais Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Mgombea Urais kupitia TLP, Macmillan Lyimo amerudisha fomu ya kugombea urais Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Mgombea Urais kupitia ADC, Chief Lutasola Yemba amerudisha fomu ya kugombea urais Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Mgombea Urais kupitia Chama cha UMMA, Hashim Rungwe amerudisha fomu ya kugombea urais Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Tazama tukio hili la kihistoria lilivyojiri

Brexit: Uingereza yajiondoa kutoka Muungano wa Ulaya

 

10 years ago

StarTV

Tazama matukio yote ya Magufuli na kusema ukinunua madaraka ipo siku mtauzwa.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji wa Mbalizi  mkoa mpya wa  Songwe,katika mkutano wake wa kampeni uliohudhuriwa maelfu ya wananchi, Dr. John Pombe Magufuli amewaomba wananchi wa Mbalizi kummpa kura za ndiyo ili aweze kuongoza watanzania na kutatua matatizo mbalimbali yanayoikabili jamii ya watanzania wa hali ya chini.   Amesema ametumikia nchi hii kwa miaka 20 serikalini akiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

TAZAMA HAPA MAJINA YA WAGOMBEA WA CHADEMA PAMOJA NA MAJIMBO WATAKAYOGOMBEA UBUNGE KUPITIA UKAWA

MARA 
Rorya - STEVEN J OWAWA
Tarime Mjini - ESTHER N MATIKO
Tarime Vijijini - JOHN HECHE
Musoma Vijijini - ZAKARIA MBULA CHIRAGWILE
Butiama - YUSUPH R KAZI
Bunda Mjini - ESTHER BULAYA
Mwibara - HARUN D CHIRIKO
Musoma Mjini - VINCENT J NYERERE
Bunda Vijijini - SULEIMAN DAUDI


SIMIYU 
Bariadi - GODWIN SIMBA
Maswa Magharibi - ABDALA PATEL
Maswa Mashariki - SYLVESTER KASULUMBAYI
Kisesa - MASANJA MANANI
Meatu - MESHACK OPULUKWA
Itilima - MARTINE MAGILE


SHINYANGA 
Msalala - PAULO MALAIKA
Kahama Mjini - JAMES...

 

11 years ago

Mwananchi

Wagombea wanne warejesha fomu za uchaguzi Kalenga

Wagombea wanne wa Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia Vyama vya CCM, Chadema, NCCR-Mageuzi na Causta jana wamerejesha fomu za kuwania kiti cha ubunge wa jimbo hilo baada ya kukamilisha taratibu za kujaza fomu, huku wale wa CCM na Chadema wakitoa ujumbe mzito wa kuwataka wafuasi wa vyama vyao kutojihusisha na vurugu wakati wa kampeni.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC yashauri wagombea kuwasilisha fomu mapema

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewaomba wagombea wote kuanzia ngazi ya udiwani hadi urais, kupeleka fomu zao mapema kwenye tume hiyo ili wapate muda wa kuzipitia na kurekebisha kasoro zinazoweza kujitokeza.

 

10 years ago

Vijimambo

FOMU ZA WAGOMBEA URAIS ,UBUNGE PAMOJA NA UDIWANI KESHO

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Mstaafu,Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi habari juu juu ya maendeleo mbalimbali katika kuelekea uchaguzi mkuu uliofanyika leo Makao Makuu ya NEC jijini Dar es Salaam,Kulia Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishina Suleiman Kova na Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Uendeshaji Uchaguzi,Clothilde Komba. Kamanda wa polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,Kamishina Suleiman Kova akizungumza na waandishi habari juu...

 

11 years ago

GPL

WAGOMBEA UONGOZI SIMBA WACHUKUA FOMU KWA MBWEMBWE

Aveva akiwasili mtaa wa Msimbazi kwa msafara. ...Akionesha alama ya tatu ambayo alisema maana yake ni pointi tatu ni muhimu kila mechi.…

 

5 years ago

Michuzi

ZANZIBAR KUMEKUCHA WAGOMBEA WAANZA KURUDISHA FOMU ZA URAIS

(Mgombea nafasi ya kuteuliliwa urais wa Zanzibar) Mohammed Hija Mohammed (kulia) akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar, Katibu wa Kamati Maalumu ya Idara ya Oganaizesheni ya CCM Zanzibar, Cassian Gallos Nyimbo, wakati aliporudisha fomu hiyo katika Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Unguja, jana. (leo). (Picha na Muhidin Sufiani) (Mgombea nafasi ya kuteuliliwa urais wa Zanzibar) Mohammed Hija Mohammed (kushoto) akisalimiana na Kada wa Chama cha Mapinduzi nje ya Ofisi za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani