Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC yashauri wagombea kuwasilisha fomu mapema

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewaomba wagombea wote kuanzia ngazi ya udiwani hadi urais, kupeleka fomu zao mapema kwenye tume hiyo ili wapate muda wa kuzipitia na kurekebisha kasoro zinazoweza kujitokeza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wagombea wanne warejesha fomu za uchaguzi Kalenga

Wagombea wanne wa Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia Vyama vya CCM, Chadema, NCCR-Mageuzi na Causta jana wamerejesha fomu za kuwania kiti cha ubunge wa jimbo hilo baada ya kukamilisha taratibu za kujaza fomu, huku wale wa CCM na Chadema wakitoa ujumbe mzito wa kuwataka wafuasi wa vyama vyao kutojihusisha na vurugu wakati wa kampeni.

 

10 years ago

Vijimambo

FOMU ZA WAGOMBEA URAIS ,UBUNGE PAMOJA NA UDIWANI KESHO

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Mstaafu,Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi habari juu juu ya maendeleo mbalimbali katika kuelekea uchaguzi mkuu uliofanyika leo Makao Makuu ya NEC jijini Dar es Salaam,Kulia Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishina Suleiman Kova na Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Uendeshaji Uchaguzi,Clothilde Komba. Kamanda wa polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,Kamishina Suleiman Kova akizungumza na waandishi habari juu...

 

5 years ago

Michuzi

ZANZIBAR KUMEKUCHA WAGOMBEA WAANZA KURUDISHA FOMU ZA URAIS

(Mgombea nafasi ya kuteuliliwa urais wa Zanzibar) Mohammed Hija Mohammed (kulia) akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar, Katibu wa Kamati Maalumu ya Idara ya Oganaizesheni ya CCM Zanzibar, Cassian Gallos Nyimbo, wakati aliporudisha fomu hiyo katika Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Unguja, jana. (leo). (Picha na Muhidin Sufiani) (Mgombea nafasi ya kuteuliliwa urais wa Zanzibar) Mohammed Hija Mohammed (kushoto) akisalimiana na Kada wa Chama cha Mapinduzi nje ya Ofisi za...

 

11 years ago

GPL

WAGOMBEA UONGOZI SIMBA WACHUKUA FOMU KWA MBWEMBWE

Aveva akiwasili mtaa wa Msimbazi kwa msafara. ...Akionesha alama ya tatu ambayo alisema maana yake ni pointi tatu ni muhimu kila mechi.…

 

9 years ago

StarTV

Tazama matukio ya leo ya kihistoria ya wagombea wakirudisha fomu


Edward Lowassa amerudisha fomu ya kugombea urais Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Dkt. John Pombe Magufuli amerudisha fomu ya kugombea urais Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Mgombea Urais kupitia TLP, Macmillan Lyimo amerudisha fomu ya kugombea urais Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Mgombea Urais kupitia ADC, Chief Lutasola Yemba amerudisha fomu ya kugombea urais Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Mgombea Urais kupitia Chama cha UMMA, Hashim Rungwe amerudisha fomu ya kugombea urais Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC yatangaza tarehe ya uteuzi wa wagombea

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu kwamba Agosti 21, mwaka huu itakuwa ni siku ya uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani.

 

10 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI ACHUKUA FOMU NEC

Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, (NEC) Adman Nyando, akimkabidhi fomu ya kuomba kugombea Urais, Mgombea mteule wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, leo Agosti 4, 2015, katika Ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana. (Picha na Bashir Nkoromo) 

 

10 years ago

Michuzi

FOMU ZA WAGOMBEA URAIS ,UBUNGE PAMOJA NA UDIWANI KESHO-LUBUVA

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Mstaafu,Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi habari juu juu ya maendeleo mbalimbali katika kuelekea uchaguzi mkuu uliofanyika leo Makao Makuu ya NEC jijini Dar es Salaam,Kulia Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishina Suleiman Kova na Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Uendeshaji Uchaguzi,Clothilde Komba. Kamanda wa polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,Kamishina Suleiman Kova akizungumza na waandishi habari juu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani