Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBA yatoa kilio chake kwa Tanesco, Dawasco

MAMLAKA zinazohusika zimeombwa kupeleka umeme, maji na barabara katika maeneo ambako mradi wa ujenzi wa nyumba za watumishi wa Serikali, unatekelezwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Dawasco yatoa msaada kwa yatima

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) limetoa misaada ya kibinadamu kwa watoto yatima wa kituo cha Msimbazi Centre, ikiwa ni moja ya sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Maji yaliyoanza Machi 16- 22.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Dawasco, Everlasting Lyaro, alisema msaada huo ni sehemu ya jamii wanayotoa huduma hiyo kila siku.
“Sisi kama Dawasco tumeguswa na mahitaji ya watoto hawa na kama sehemu...

 

10 years ago

Michuzi

DAWASCO YATOA TAARIFA YA KUZIMWA KWA MTAMBO WA RUVU JUU

SHIRIKA LA MAJISAFI NA MAJITAKA DAR ES SALAAM (DAWASCO) INAWATANGAZIA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM NA KIBAHA MKOANI PWANI KUWA MTAMBO WA KUZALISHA MAJI WA RUVU JUU UTAZIMWA KWA WASTANI WA SAA 12 KUANZIA SAA 12:00 ASUBUHI HADI SAA 12:00 JIONI KWA SIKU YA IJUMAA 20/02/2015.
MTAMBO YA RUVU JUU UTAZIMWA ILI KUMRUHUSU MKANDARASI KUFANYA SHUGHULI ZA UPANUZI WA MTAMBO.
KUZIMWA KWA MTAMBO WA RUVU JUU KUTASABABISHA MAENEO YAFUATAYO KUKOSA MAJI;
MLANDIZI, KIBAHA, KIBAMBA, KILUVYA, KONGOWE, MISUGUSUGU,...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco kuikatia umeme Dawasco iwe funzo

Katika toleo la jana la gazeti hili, tuliandika habari kuhusu hatua ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kulikatia umeme Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco), kutokana na malimbikizo ya deni Sh7 bilioni.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco yaikatia umeme Dawasco, yaidai Sh7 bilioni

Kibao cha operesheni kata maji kimeligeukia Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) baada ya kukatiwa umeme na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), ikidaiwa Sh7 bilioni.

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco yatoa msaada kwa watoto yatima Dar

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa misaada ya vitu mbalimbali na kupata chakula cha mchana na watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Chakuwama kilichopo Sinza, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA TANESCO LISIKIKILIZE KILIO CHA WAKAZI WA MWANAGATI-KITUNDA.!

 Wananchi wa Mwanagati-Kitunda jijini Dar es Salaam  na maeneo jirani wamelilalamikia shirika la TANESCO  kwa kukatiwa umeme kwa siku tatu mfululizo,bila taarifa yoyote kutolewa kwa wakazi hao.''hatuna umeme kwa siku 3 mfululizo usiku na mchana mpaka sasa na hakuna taarifa zozote toka shirika la umeme Tanesco kuelezea hali hii inayoendelea mpaka sasa'',alilalama mmoja wa wakazi  wa eneo hilo.
Wakielezea kwa masikitiko makubwa juu ya tatizo hilo,Wananchi hao wamesema kuwa hawakupata taarifa...

 

10 years ago

GPL

SHIRIKA LA TANESCO LISIKILIZE KILIO CHA WAKAZI WA MWANAGATI-KITUNDA

Wananchi wa Mwanagati-Kitunda jijini Dar es Salaam na maeneo jirani wamelilalamikia shirika la TANESCO kwa kukatiwa umeme kwa siku tatu mfululizo, bila taarifa yoyote kutolewa kwa wakazi hao.''hatuna umeme kwa siku 3 mfululizo usiku na mchana mpaka sasa na hakuna taarifa zozote toka shirika la umeme Tanesco kuelezea hali hii inayoendelea mpaka sasa'',alilalama mmoja wa wakazi wa eneo hilo. Wakielezea kwa masikitiko makubwa juu ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Tanesco yatoa sababu kukatika umeme mara kwa mara

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa ufafanuzi kuhusu  tatizo la kukatika  kwa umeme linaloendelea nchini linatokana na kuongeza taratibu megawati hadi zifikie megawati 335.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tanesco yatoa tahadhari

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limewataka wananchi kuacha tabia ya kujenga na kufanya biashara chini ya nyaya za umeme kwani ni hatari kwa maisha yao. Akizungumza na Tanzania Daima jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani