SHIRIKA LA TANESCO LISIKIKILIZE KILIO CHA WAKAZI WA MWANAGATI-KITUNDA.!
![](http://1.bp.blogspot.com/-fWtwftMPNnk/VALh1PqLTFI/AAAAAAACpiQ/apF5v_X9NUQ/s72-c/Tanesco_Logo.jpg)
Wananchi wa Mwanagati-Kitunda jijini Dar es Salaam na maeneo jirani wamelilalamikia shirika la TANESCO kwa kukatiwa umeme kwa siku tatu mfululizo,bila taarifa yoyote kutolewa kwa wakazi hao.''hatuna umeme kwa siku 3 mfululizo usiku na mchana mpaka sasa na hakuna taarifa zozote toka shirika la umeme Tanesco kuelezea hali hii inayoendelea mpaka sasa'',alilalama mmoja wa wakazi wa eneo hilo.
Wakielezea kwa masikitiko makubwa juu ya tatizo hilo,Wananchi hao wamesema kuwa hawakupata taarifa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aGsIBoQ0cKm5lKF6dBzzP53TIvjUZvJ7Prq4qhOuCit2QLqps0f04NR3MjLMQBrMFRqbanTksOgFiJXsBy74p4oQ7zOckq0Z/TANESCO.jpg)
SHIRIKA LA TANESCO LISIKILIZE KILIO CHA WAKAZI WA MWANAGATI-KITUNDA
10 years ago
Dewji Blog31 Aug
TANESCO yawatesa wananchi wa Mwanagati Kitunda kwa kukosekana umeme siku tatu mfululizo
Na Mwandishi wetu
Kwa habari tulizozipokea hivi punde toka kwa wananchi wa Mwanagati-Kitunda jijini Dar es Salaam zinasemekana kwamba wananchi wa maeneo haya hawana umeme kwa siku 3 mfululizo usiku na mchana mpaka sasa na hakuna taarifa zozote toka shirika la umeme Tanesco kuelezea hali hii inayoendelea mpaka sasa.
Wananchi mbalimbali wakielezea, walisema hawakupata taarifa yoyote ile toka Tanesco na mpaka sasa wengi wao wamepata hasara kubwa kibiashara kutokana na tatizo ili na upande...
10 years ago
StarTV14 Apr
Wakazi kijiji cha Baga watapeliwa sh. mil. 2.5 na ‘Vishoka’ wa Tanesco.
Na Mbonea Herman,
Tanga.
Mtu mmoja aliyejiita kuwa mfanyakazi wa Shirika la Umeme nchini TANESCO amewatapeli wakazi wa kijiji cha Baga shilingi milioni 2.5 fedha alizokuwa akichangisha kwa ajili ya kuwaunganishia huduma ya umeme kijijini hapo.
Kutokana na hali hiyo TANESCO Mkoa wa Tanga limewatahadharisha wananchi kuwa makini na watu wanaojiita kuwa ni vishoka wa shirika hilo ambao dhamira yao kuu ni kuwatapeli wananchi.
Ilikuwa ni kazi kuzingoa nguzo zilizokuwa zimejengwa na watu...
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA
11 years ago
Habarileo20 Feb
TBA yatoa kilio chake kwa Tanesco, Dawasco
MAMLAKA zinazohusika zimeombwa kupeleka umeme, maji na barabara katika maeneo ambako mradi wa ujenzi wa nyumba za watumishi wa Serikali, unatekelezwa.
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Wakazi Dar waipa Tanesco siku 10
UMOJA wa wakazi waishio jijini Dar es Salaam zaidi ya 200 wametoa siku 10 kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kubadilisha bei mpya ya umeme na kurejesha iliyokuwepo awali. Akizungumza...
10 years ago
MichuziKilio cha Mdau juu ya ushuru unaolipishwa katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo
Tunawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya ya kutujuza mambo mbali mbali yanayoendelea hapa nchini na nje ya mipaka ya nchi yetu,tunawapa BIGI APU sana kwa kweli.
Kupitia libeneke la Globu ya Jamii,naomba nifikishie kero yangu hii kwa wahusika wa Halmashauri ya Jiji,maana leo nilifika pale kwenye stendi kuu ya mabasi (Ubungo Bus Terminal) na kukutana na utaratibu wa kulipisha kiasi cha sh. 300 ikiwa ni gharama ya maegesho ya...
10 years ago
Vijimambo18 Jan
Barabara ya Ndundu-Somanga yakamilika kwa kiwango cha Lami kilio cha watu wa mikoa ya kusini kwisha
11 years ago
Habarileo12 Feb
Wakazi 200 Dar waitaka TANESCO ishushe bei ya umeme
UMOJA wa wakazi zaidi ya 200 wa Dar es Salaam wametoa siku kumi kwa Shirika la Umeme nchini(TANESCO), pamoja na vyombo vingine vya maamuzi, kubatilisha maamuzi yake juu ya bei mpya ya umeme na irejeshwe bei iliyokuwepo.