Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBL YADINDUA KINYWAJI KIPYA LEO

Meneja wa kinywaji kipya cha Kill Twist, Edith Bebwa akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kinywaji hicho cha kill Twist kinachozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).Uzinduzi huo ulifanyika katika ufukwe wa Azura jijini Dar es Salaam mchana wa leo. Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa kinywaji cha Kill Twist uliofanyika katika ufukwe wa Azura jijini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Chibuku wazindua kinywaji kipya

KAMPUNI ya Dar Brew, maarufu zaidi kama Chibuku, imezindua bia mpya ya asili ijulikanayo kama Chibuku Super, iliyowekwa katika chupa maalumu ambayo mteja anaweza kuondoka nayo. Akizungumza na waandishi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Dar Brew yazingua kinywaji kipya cha asili kinachofahamika kama chibuku super

Mkurugenzi mkuu wa KAMPUNI ya Dar Brew,Bw. Kiroi Suma (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa bia mpya ya asili ya chibuku super jijini Dar Es Salaam hivi karibuni.Kulia ni Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda hicho,Said Mremi. Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda hicho,Said Mremi akionyesha moja ya chupa ya Chibuku mbele ya waandhishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa bia hiyo mpya ya asili ya chibuku super jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Michuzi

TDL YAZINDUA KINYWAJI KIPYA CHA KIMATAIFA, FYFE'S SCOTCH WHISKY KATIKA SOKO LA TANZANIA

KAMPUNI ya Tanzania Distilleries Ltd (TDL) imeendelea kujitanua katika soko nchini baada ya kuzindua kinywaji kipya cha kimataifa kiitwacho Fyfe's Scotch Whisky.
Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa kinywaji hicho Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa TDL, David Mgwassa alisema Fyfe's ni kinywaji maridhawa kinachoandaliwa kikamilifu kikiwa na radha murua na ya kipee.
"Ubora wa kinywaji hiki unatokana na umahiri mkubwa wa waandaaji na pia unatokana kimea na nafaka bora...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd (TDL) yazindua kinywaji kipya cha kimataifa, Fyfe’s Scotch Whisky katika soko la Tanzania

Mkurugenzi mtendaji wa TDL David Mgwasa akielezea na kutoa ufafanuzi wa Kinywaji kipya aina ya Fyfe’s.Kampuni ya Tanzania distilleries ltd (tdl) Juzi Tarehe 20 mwezi wa 8 2014 imefanya uzinduzi wa kinywaji chake kipaya aina ya  Fyfe’s katika hoteli ya Serena, Kinywaji hicho ambacho uhalisia wake na uzindikaji ni wa nchini scotland.Mkurugenzi wa TDL David Mgwasa amewaomba waTanzania kukipokea kinywaji hicho kwenye soko la vimiminika kwani kina ubora wa hali ya juu na kimetengenezwa kwa...

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA,MEZ B AFARIKI DUNIA LEO

Taarifa iliyotufikia mapema leo,inaeleza kuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kundi la ‘Chamber Squad’, Moses Bushagama ‘Mez B’, amefariki dunia leo asubuhi huko Mkoani Dodoma baada ya kusumbuliwa na Homa ya mapafu kwa muda mrefu. Taarifa ya kifo cha Mez B zimethibitishwa na mama yake mzazi, na kwamba alikuwa amelazwa kwenye Hospitali ya Mwananchi.
Mez B amewahi kulazwa na kuruhusiwa mara kadhaa katika hospitali ya Dodoma na hivi karibuni alizidiwa na kulazwa mkoani humo mpaka umauti...

 

10 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND KUWASHA MOTO LEO KIWANJA KIPYA CHA LUKAS PUB

Skylight Band ni mwendo wa kutoa raha sana tukutane Ijumaa hii ndani ya kiota cha Lukas Pub Masaki jijini Dar kwa kuburudika na bendi hii. Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani ya kukata na shoka kwenye stageni na moja ya nyimbo zao. Joniko Flower naye katika muziki wa live hashikiki kwa sauti,viuno mpaka pumzi ni…

 

10 years ago

Michuzi

CHAMA KIPYA CHA SIASA CKUT CHAPATA USAJILI JIJINI DAR LEO.

 Mwenyekiti  na Muasisi wa Chama cha  Kijamaa na Uzalendo Tanzania (CKUT),Ramadhani  Semtawa  akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupata usajili wa muda wa chama hicho uliyofanyika katika viwanja vya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni katibu Mkuu wa Chama hicho,Noel  Antapa.  Mwenyekiti  na Muasisi wa Chama cha  Kijamaa na Uzalendo Tanzania (CKUT),Ramadhani  Semtawa  akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupata usajili wa muda wa...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mazingira atembelea kiwanda cha TBL na Coca Cola jijini Mwanza leo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Dk. Eng. Binilithi Satano Mahenge wa pili (kulia), akiwa katika ziara yake ya kukagua mazingira ya Kiwanda cha bia (TBL) kilichopo kata ya Pasiasi wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, na wa pili (kushoto) ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Angelina Madete,wakati maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani yakiendelea jijini Mwanza. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais -Mazingira, Mh. Dk. Eng. Binilithi Satano Mahenge wa tatu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani