Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBS yawapa mbinu viziwi kuzalisha bidhaa bora

BIASHARA ni mzunguko na ili ufanikiwe lazima uwe na elimu ya kutosha juu ya biashara yako. Elimu ndiyo nguzo pekee itakayowafanya wafanyabiashara  wadogo nchini kujulikana kwa kutengeneza na kuuza bidhaa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TBS yawapa somo wajasiriamali

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wajasiriamali na wafanyabiashara wakubwa nchini kuboresha bidhaa zao kwa kuzingatia viwango vya ubora unaotakiwa. Mkurugenzi wa Kudhibiti Ubora wa Viwango wa TBS, Tumaini Mtitu,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi tukatae bidhaa zisizothibitishwa na TBS

MJASIRIAMALI yeyote ana malengo aliyojipangia, ili kukamilisha ndoto zake katika maisha. Ili kuyafikia hayo yampasa kuzingaitia mambo ambayo hayatakuwa ni kikwazo kuyafikia malengo yake. Moja ya vitu vya kuangalia katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBS kutokomeza bidhaa bandia kwa wajasiriamali

UZALISHAJI wa bidhaa zilizo chini ya kiwango nchini umekuwa ni tatizo sugu linaloathiri afya za Watanzania na uchumi kwa ujumla. Mazingira duni ya maeneo ya uzalishaji yasiyozingatia masuala ya kitaalamu...

 

9 years ago

Mwananchi

TBS yataka uzalishaji wa bidhaa zinazokidhi viwango

Tanzania imetakiwa kuzalisha bidhaa zenye viwango katika zama hizi za utandawazi ili kukidhi mahitaji ya viwango vya kimataifa na kujihakikishia soko la bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi.

 

11 years ago

Habarileo

‘Zalisheni bidhaa zenye ubora unaotambuliwa TBS’

WAJASIRIAMALI wameaswa kuzalisha bidhaa zenye ubora badala ya kutengeneza na kuziuza kwa wananchi wakati bado hazijapimwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Aidha wajasiriamali 258 wamefikiwa na TBS na kupimiwa ubora wa bidhaa zao nchi nzima.

 

9 years ago

StarTV

TBS yawataka wazalishaji kuthibitishiwa ubora wa bidhaa na shirika hilo

 

Shirika la Viwango Tanzania limewataka wazalishaji wote wa bidhaa ambazo ziko katika viwango vya lazima kuhakikisha wanathibitisha ubora wa bidhaa zao kwa shirika hilo.

Kauli hiyo imekuja baada ya TBS kubaini viwanda vya Kampuni ya Red East Building materials limited cha Tabata Bima na kile cha Snow Leopard cha Tabata Segerea kuzalisha mabati ambayo hayajathibitishwa ubora .

Kabla  ya kuvifungia viwanda hivyo, Afisa masoko wa TBS, Gladnes Kaseka alisema viwanda vyote ambavyo...

 

10 years ago

Michuzi

TBS NA TFDA WATAKIWA KUDHIBITI BIDHAA ZISIZO NA UBORA ILI KULINDA UCHUMI

 Picha na maktabaNa Woinde Shizza,Arusha 
Mamlaka ya Chakula na dawa(TFDA) na Shirika la Viwango nchini(TBS), wameshauriwa kuwadhibiti zaidi wafanyabiashara wasio waaminini ambao wanaingia nchini bidhaa sizizo na ubora kwani wanaporomosha uchumi.
Meneja masoko wa kampuni ya  Wrigleys (EA) Company Ltd, Emanuel Laswai, alitoa kauli hiyo juzi, katika uzinduzi wa bidhaa mpya za kampuni hiyo ya Doublemint  nchini Tanzania.
Laswai alisema, uingizwaji wa bidhaa feki na zisizo na ubora zina  athari za...

 

10 years ago

Michuzi

PPF YAWAPA TUZO WAFANYAKAZI WAKE BORA WA MWAKA 2014

Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Martin Mmari, (kushoto), akimkabidhi cheti Mfanyakazi bora wa Mfuko huo kutoka kanda ya Ziwa, Bernard Kyaduma, wakati wa hafla ya kuwapatia tuzo wafanyakazi bora wa Mfuko huo mwaka 2014.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Julius Kam Mganga, (wapili kushoto), akitunuku cheti Mfanyakazi bora wa jumla wa Mfuko huo kwa mwaka 2014, Angelina Napacho kutoka kurugenzi ya Operesheni ya Mfuko huo, wakati wa hafla ya kuwatunuku wafanyakazi...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YAPOKEA CHETI CHA UBORA WA BIDHAA ZAKE KUTOKA TBS


Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akipokea cheti cha ubora wa bidhaa za kampuni hiyo kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni ya viwango nchini TBS Bw. Joseph Masikitiko wakati wa utoaji wa vyeti hivyo uliofanyika katika ofisi za TBS Dar es salaamMeneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kulia akiwa na Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu.Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani