Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TCRA yapokea tathmini uhamaji analojia

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea matokeo ya tathmini ya uhamaji kutoka mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda dijitali kwa awamu ya kwanza. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JANUARI MAKAMBA AFUNGA KONGOMANO LA MFUMO WA UHAMAJI KUTOKA ANALOJIA KWENDA DIJITALI KWA AFRIKA (DBSF) 2014

 Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba akitoa hotuba yake wakati wa kufunga kongamano la siku tatu la uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka Analojia kwenda Dijitali kwa Afrika (DBSF) 2014 katika Hoteli ya Naura Spring jijini Arusha. Kongamano hilo la 9 liliandaliwa na Shirika la Utangazaji kwa Nchi za Jumuia ya Madola (CTO) kwa ushirikiano mkubwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Srikali ya Tanzania ambao ndio wenyeji.  Mgeni rasmi katika ufungaji wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TCRA kuzima analojia Tabora

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), leo inatarajia kuzima mitambo ya kurusha matangazo ya televisheni ya mfumo wa utangazaji wa analojia mkoani hapa. Akizungumza kwenye warsha iliyohusisha wadau katika Hoteli ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TCRA kuzima analojia Singida, Tabora

MENEJA wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Kati Dodoma, Maria Sasabo, amesema kuanzia Machi mwaka huu watazima mitambo ya mawasiliano ya analojia katika mikoa ya Singida na Tabora....

 

10 years ago

GPL

TCRA YAZUNGUMZIA MABADILIKO KUTOKA ANALOJIA KWENDA DIJITALI

Meneja Mkuu wa Mawasiliano wa TCRAm Innocent Mungy (katikati) akitoa tamko; kulia ni Ofias Mawasiliano Mkuu wa TCRA, Semu Mwakyanjala na Mhandishi Mkuu wa TCRA, Christopher  Assenga. Wanahabri wakifuatilia tukio hilo.…

 

9 years ago

Press

Mkutano wa 10 wa uhamaji kutoka mfumo wa Analogia kwenda Digitali kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC)

Picha na 1

Picha na 2

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akifunga Mkutano wa 10 wa  uhamaji kutoka mfumo wa Analogia kwenda Digitali kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) kwa niaba ya Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo jana. Tanzania imepata heshima ya kuwa mwenyeji wa mkutano huo baada  ya  kuonekana kufanya vizuri katika uhamaji wa matumizi ya mfumo wa analogia kwenda digitali kwa wakati.

Picha na 3

Mkurugenzi wa Idara...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Haturudi kwenye analojia’

Licha ya kukumbana na changamoto katika matumizi ya tiketi za kielektroniki, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limesema kamwe haliwezi kurudi kwenye mfumo wa kizamani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mitambo ya analojia yazimwa Tanzania

Tanzania imeingia awamu ya 2 ya mpango wake wa kuhama kutoka mfumo wa analojia kwenda dijitali, kwa kuzima mitambo ya analojia katika baadhi ya miji

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau wa mawasiliano wajadili uzimaji analojia

WATAALAMU, wadau wa mawasiliano  na maofisa kutoka nchi 25 wanachama wa Jumuia ya Madola  wanakutana jijini hapa kwa siku nne kuanzia jana kujadili harakati za uzimaji wa mitambo ya analojia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani