Teknolojia mpya ya usimamizi na usalama wa ndege angani
Baada ya miongo kadhaa ya kutumia teknolojia ya rada katika uongozaji ndege na usimamizi wa anga, Tanzania sasa inaingia katika orodha ya nchi chache barani Afrika kuwa na teknolojia mbili za kisasa zitakazosaidia kuboresha sekta hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-mWR5AJF1938/VnqJZmD9A2I/AAAAAAAIOM4/oePQsgqdK0E/s72-c/1.jpg)
SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LAZINDUA MFUMO MPYA WA KISASA WA USIMAMIZI WA MIZIGO KWENYE VIWANJA VYA NDEGE
![](http://2.bp.blogspot.com/-mWR5AJF1938/VnqJZmD9A2I/AAAAAAAIOM4/oePQsgqdK0E/s640/1.jpg)
Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Shirika la ndege la ETIHAD lazindua mfumo mpya wa kisasa wa usimamizi wa mizigo kwenye viwanja vyake vya ndege
Shirika la ndege la Etihad ambalo ndio shirika rasmi la nchi ya Falme za kiarabu, leo hii limetangaza makubaliano na kampuni ya Luggage Logistics kuboresha mfumo mzima wa usimamizi wa mizigo katika viwanja vake vya ndege dunia nzima.
Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...
10 years ago
Mwananchi01 May
Ndege ya Clinton yapata hitilafu angani
9 years ago
BBCSwahili01 Nov
Urusi:Ndege iliyoanguka Misri ilivunjikia angani
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/uI9tKWBIvdA/default.jpg)
Angalia walichokutana nacho angani hawa abiria wa ndege
![](http://raha.mipasho.com/wp-content/uploads/sites/4/2014/10/virgin-galactic-spaceship-800x449.jpg)
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Kashkashi angani: Rubani awehuka, ateka ndege yake mwenyewe
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Ndege ya abiria ilivyokatiza safari yake angani kisa Panya..
Matukio yameendelea kuchukua headlines India.. ukiachia lile tukio la joto kali lililofanya watu kushindwa kuvumilia na kukaa ndani ya maji wakihofia maisha yao huku wengine wakipoteza maisha kutokana na joto kali kuna hii nyingine imetokea huko. Ndege ya Air India ambayo ilikua ikitoka Mumbai kuelekea London, Uingereza ililazimika kugeuza safari ikiwa na abiria wake 171 na […]
The post Ndege ya abiria ilivyokatiza safari yake angani kisa Panya.. appeared first on...
10 years ago
Dewji Blog06 Apr
Mashirika ya ndege ya Boeing 747-8 sasa yaja na ‘jumba la kifahari’ angani
Sehemu ya ndani chumbani kama inavyoonekana.
Na Andrew Chale wa Modewji blog, kwa msaada wa Mashirika ya Habari.
Huenda bado ujasikia juu ya baadhi ya ndege ndogo, za kati na zile kubwa zimekuja na mfumo mpya zaidi ndani ya ndege zao ikiwemo kutengeneza chumba cha kifahari ndani ya ndege kiasi cha kujiona kama upo nyumbani kwako kwenye jumba la kifahari.
Ndege ya Gulfstream G650, miongoni tu waliokuja na mfumo huo kwenye ndege yao hiyo ya usafiri wa anga kifahari, lakini kuna wachache...
11 years ago
CloudsFM24 Jul
Just In: Ndege ya Algeria yenye watu 116 yapotea angani, haionekani kwenye radar
Ndege ya shirika la Air Algerie la Algeria iliyokuwa ikitoka nchini Burkina Faso kwenda Algiers imepotea kwenye radar mapema leo.
Mamlaka inayohusika na uchunguzi wa anga imesema imepoteza mawasiliano na ndege hiyo saa 0155 GMT, au dakika 50 baada ya kupaa. Hiyo ina maana kuwa ndege hiyo imepotea kwa saa kadhaa kabla ya habari hiyo kujulikana.
Ndege hiyo ilikuwa ikitoka Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso.