Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Teknolojia ya kidijitali inavyoleta mapinduzi ya kiuchumi Tanzania

KATIKA miaka ya karibuni ukuaji wa teknolojia ya kidijitali umezipa nchi nyingi faida mbalimbali za kibunifu ambazo zinazochochea maendeleo ya watu na ukuaji wa uchumi.
Moja ya teknolojia hizo bunifu ni huduma za afya kidijitali (m-health). Katika nchi nyingi huduma hii imekuwa muhimu ikisaidia watu kupata taarifa za afya na hospitali kutunza kumbukumbu kwa ufanisi zaidi.
Tanzania, huduma hizi za afya kwa njia ya simu zimesaidia watu wengi wazima na wagonjwa kupata taarifa za afya, njia za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Nafasi ya teknolojia ya kidijitali katika kuendeleza uchumi wa Tanzania

Na Martin Nyeka UDBSKATIKA miaka mitano iliyopita, idadi ya watumiaji wa simu katika eneo la Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara imeongezeka mara dufu. 
Kwa mujibu wa GSMA (Shirika la Kimataifa la Makampuni ya Simu), mpaka mwisho wa mwaka 2018, idadi ya watumiaji wa simu za mkononi katika eneo hili ilikuwa imeongezeka kwa milioni 20, ukilinganisha na mwaka uliotangulia (2017). Makadirio yanaonesha kwamba idadi hiyo itaongezeka kwa watumiaji wapya milioni 167 kufikia mwaka 2025.
Hapa Tanzania,...

 

10 years ago

Mwananchi

Teknolojia ya umemejua inavyoleta nuru kwa maskini

Ilikuwa vigumu mwananchi wa kipato cha chini nchini kumiliki nyumba au kifaa chenye mfumo wa umemejua.

 

10 years ago

Mwananchi

Z’bar sasa ijielekeze katika Mapinduzi ya kiuchumi

Wazanzibari jana waliadhimisha kumbukumbu ya miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa nderemo, vifijo na shamrashamra za kila aina. Siku hiyo hakika ni ya kukumbukwa, kwani miaka 51 iliyopita wananchi wa Zanzibar waliuangusha utawala dhalimu wa Kisultani uliokuwa ukiwakandamiza na kuwadhalilisha kwa miongo mingi katika nchi yao wenyewe.

 

11 years ago

Mwananchi

Mandela alileta mapinduzi ya kiuchumi Afrika ya Kusini

Jabali la ukombozi limeondoka duniani. Amefariki akiwa na umri wa miaka 95. Huyo si mwingine bali ni Nelson Mandela ambaye aliwakomboa Waafrika Kusini kutoka kwenye minyororo ya makaburu.

 

10 years ago

Mwananchi

MARAIS WASTAAFU : Afrika ikiungana itaharakisha mapinduzi kiuchumi

Siku hizi Afrika iko nyuma kwa kila kitu, kuanzia maendeleo ya viwanda, teknolojia, elimu, afya, kilimo na hata miundombinu.

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom Tanzania yawezesha wanafunzi kuendelea na masomo kupitia jukwaa la kidijitali bure.


Wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini kunufaika na utoaji wa elimu bure kupitia jukwaa la kidijitali.Shule za msingi na sekondari kunufaika na upatikanaji bure wa maudhui ya elimu kupitia jukwaa la ‘Vodacom Instant Schools portal’.Kampuni inayoongoza kidijitali nchini ya Vodacom Tanzania PLC inafanya kazi na shule pamoja na taasisi mbalimbali za elimu nchini kutoa huduma ya mafunzo ya dijitali bila gharama yoyote. Taasisi zilizonufaika na huduma hii ni pamoja na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya NMB, Mastercard na EYWA washirikiana kuleta mfumo wa malipo kwa njia ya kidijitali kwa wasafiri Tanzania

Benki ya NMB kwa kushirikiana na Mastercard na kampuni ya utoaji huduma za usafiri - EYWA, wamezindua mfumo mpya wa malipo kwa njia ya kidijitali kwa wasafiri nchini Tanzania. Mfumo huo unaojulikana kama ‘EYWA Transit Solution’, utawawezesha wasafiri kukata tiketi kwa njia ya kidijitali kupitia simu za mkononi na kadi maalumu. 

Suluhisho hili linalenga kutatua changamoto za huduma za usafirishaji nchini kwa kupunguza matumizi ya mfumo wa malipo ya fedha taslimu na kuwa katika njia ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani