Temeke ‘malkia wa netiboli’
>Wenyeji Temeke wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya netiboli ya kombe la taifa baada ya kuifunga Morogoro magoli 52-38 katika fainali iliyopigwa jana jioni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Temeke malkia Netiboli Taifa
TIMU ya netiboli ya Mkoa wa Temeke, imetwaa ubingwa wa Kombe la Taifa katika mashindano yaliyofikia tamati jana Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Wakati ubingwa ukienda Temeke, nafasi...
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Temeke, Kinondoni zatambiana netiboli
10 years ago
MichuziMakundi 5 yang'ara ndani ya Temeke kwenye usaili wa kwanza Dance 100% 2015 Temeke

Makundi haya yamechuana vikali na mengine 6 yanayokamilisha idadi ya makundi 11, UNI 6 Crew, GMF Crew, TWC, Dar Crew, Noma Sana Crew, na Viga Stars yaliyojitokeza kuwania nafasi hiyo katika usajili huo wa kwanza.
Mratibu wa...
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA TEMEKE NDUGU SOPHIA MJEMA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA SIKU 5 YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI WILAYANI TEMEKE
10 years ago
BBCSwahili24 Mar
Mabingwa wa netiboli wapatikana
11 years ago
Mwananchi03 Nov
Tunazungumzia soka, netiboli je?
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Wadau wasaidie netiboli
MASHINDANO ya Kombe la Taifa kwa mchezo wa netiboli yamefikia tamati mwishoni mwa wiki kwa mkoa wa kimichezo wa Temeke kutetea ubingwa kwa kuifunga Morogoro katika mechi ya mwisho. Temeke...
10 years ago
Habarileo15 Oct
Netiboli yaporomoka kimataifa
TANZANIA imeporomoka katika viwango vya mchezo wa netiboli duniani baada ya kuondolewa katika orodha ya nchi zinazotambuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Netiboli (INF), sababu kubwa ikiwa ni kushindwa kucheza michezo mingi ya kimataifa.