Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Netiboli yaporomoka kimataifa

TANZANIA imeporomoka katika viwango vya mchezo wa netiboli duniani baada ya kuondolewa katika orodha ya nchi zinazotambuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Netiboli (INF), sababu kubwa ikiwa ni kushindwa kucheza michezo mingi ya kimataifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Majengo 22 yaporomoka China

Majengo 22 yameanguka katika maeneo ya viwandani katika mji wa Shenzhen, Kusini mwa Uchina kufuatia maporomoko ya ardhi.

 

11 years ago

Mwananchi

Bei ya Tanzanite yaporomoka nje

>Bei ya madini ya Tanzanite hapa nchini imepanda huku bei hiyo ikiporomoka katika soko la kimataifa.

 

10 years ago

GPL

TANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO VYA FIFA

SHIRIKISHO la Soka la Dunia (Fifa) limetangaza viwango vipya vya ubora wa soka duniani kwa Agosti, 2014 huku Tanzania ikiporomoka kwa nafasi nne kutoka 106 hadi 110. Katika orodha hiyo iliyotolewa leo Agosti 14, 2014 Ujerumani ndiyo vinara wakifuatiwa na Argentina, Uholanzi, Colombia, Ubelgiji, Uruguay, Hispania, Brazil, Switzerland na Ufaransa.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania yaporomoka uzalishaji korosho Afrika

>Tanzania imeporomoka hadi nafasi ya tatu kwa uzalishaji wa korosho kwa nchi za Afrika kutokana na kukosa viwanda vya kubangulia zao hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kambi ya jeshi yaporomoka na kuua 23 Urusi

Takriban wanajeshi 23 wa Urusi wameuawa karibu na mji wa Omsk ulioko Siberia baada ya jengo la kambi yao kuporomoka.

 

10 years ago

Mwananchi

Tunazungumzia soka, netiboli je?

Miaka ya themanini mpaka mwanzoni mwa miaka tisini, mchezo wa netiboli nchini ulikuwa ukishika nafasi ya pili kwa kupendwa na kujizolea mashabiki wengi, nyuma ya mchezo wa soka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau wasaidie netiboli

MASHINDANO ya Kombe la Taifa kwa mchezo wa netiboli yamefikia tamati mwishoni mwa wiki kwa mkoa wa kimichezo wa Temeke kutetea ubingwa kwa kuifunga Morogoro katika mechi ya mwisho. Temeke...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mabingwa wa netiboli wapatikana

Michuano ya netball imemalizika Zanzibar huku timu ya MOICT ya Kenya ikitwaa ubingwa kwa kuifunga NIC ya Uganda .

 

11 years ago

Mwananchi

Temeke ‘malkia wa netiboli’

>Wenyeji Temeke wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya netiboli ya kombe la taifa baada ya kuifunga Morogoro magoli 52-38 katika fainali iliyopigwa jana jioni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani