Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 23.03.2020: Jovic, Laporte, Skriniar, Koulibaly, Griezmann, Ndicka
Barcelona wana nia ya kumsajili beki wa Manchester City na Ufaransa Aymeric Laporte, 25, katika majira ya kiangazi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili22 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 22.06.2020: Jimenez, Kurzawa, Messi, Koulibaly, Vertonghen
Barcelona wameanzisha mazungumzo juu ya mkataba mpya wa mwaka mmoja kwa ajili ya Muargentina Lionel Messi, anayetimiza umri wa miaka 33 Jumatano wiki hii. (Marca)
5 years ago
BBCSwahili02 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 02.03.2020: Sancho, Foster, Smalling, Koulibaly, Mertens
Winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho, 19, hana mawazo kuhusiana na hatma yake ya baadae licha ya tetesi zinazomhusisha na uhamisho wa kuenda Manchester United ama Liverpool. (Mail)
5 years ago
BBCSwahili08 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 08.06.2020:Chilwell, Koulibaly, Martinez, Pjanic, Zaniolo, Rakitic
Manchester United na Real Madrid wanachunguza hali ya mshambuliaji wa Inter Milan na Argentina Lautaro Martinez, 22 baada ya mazungumzo ya kuhamia Barcelona kugonga mwamba. (Marca via Mirror)
5 years ago
BBCSwahili21 Feb
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 21.02.2020: Skriniar, Tah, Alonso, Klopp, Hodgson, Lallana
Klabu ya Real Madrid wanamfuatilia kiungo wa Rennes na Ufaransa Eduardo Camavinga, 17.
5 years ago
BBCSwahili03 May
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 03.05.2020: De Bruyne, Sanchez, Coutinho, Jovic, Suarez, Lingard
Kiungo wa kati wa Ubelgiji Kevin De Bruyne , 28 amesema kwamba huenda akaondoka Manchester City iwapo marufuku yao itaidhinishwa.(HLN, via Manchester Evening News)
5 years ago
BBCSwahili08 May
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 8.5.2020: Coutinho, Koulibaly, Sancho, Icardi, Aubameyang
Newcastle inataka kumsajili beki wa kati wa Napoli na Senegal Kalidou Koulibaly
5 years ago
BBCSwahili22 May
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 22.05.2020: Umtiti, Koulibaly, Pjanic, Haaland, Rabiot
Barcelona wamepunguza bei ya kumuuza beki wao wa kati Samuel Umtiti wakati huu ambapo klabu za Manchester United na Arsenal zinamnyatia mchezaji huyo. (Sport - in Spanish)
5 years ago
BBCSwahili08 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 08.03.2020: Aguero, Henderson, Ter Stegen, Skriniar, Abraham, Matic, Stones
Manchester City wameridhia kumruhusu mshambuliaji wa Argentina Sergio Aguero, 31, kuondoka klabu hiyo msimu wa joto ikiwa watashindwa kubatilisha marufuku ya Uefa dhidi yao.
5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 15.04.2020: Griezmann, Martinez, Kane, Coutinho, Niguez, Aguero, Haaland
Inter Milan inamtaka mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, 29, kubadilishana na mshambuliaji Lautaro Martinez ikiwa Barcelona itammyakua kiungo huyo wa Argentina wa miaka 22 kutoka kwao. (La Gazzetta dello Sport, via Marca)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania