Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF na vioja vya mikataba iliyojifunga yenyewe!

Ni kitambo kidogo tangu aliyekuwa Kocha wa Timu ya Taifa, Kim Poulsen asitishiwe mkataba wa kuifundisha timu hiyo katika mazingira yasiyoeleweka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Vioja na Viroja vya Unguja

Tulikuwa tukiambiwa Unguja ni njema, atakae naaje. Kwa wale wanaoifahamu wakifika sasa hivi watakwambia ‘Unguja ni mbovu haifai hata kuikaribia’ Ule ujanja ujanja uliokuwapo kule Bara sasa umehamia Unguja. Watu wanatengeneza kila ujanja ilhali wajipatie fedha. […]

The post Vioja na Viroja vya Unguja appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wapo wanaofurahia vioja vya Maswi

ZAIDI ya mwezi sasa vyombo mbali mbali ya habari nchini vimetawaliwa na habari juu ya kuchotwa kwa fedha za Tegeta Escrow, kiasi cha sh. bilioni 200. Umekuwa ni mpambano baina...

 

5 years ago

Michuzi

BASHUNGWA AWATAKA WENYE VIWANDA VYA SUKARI KUREJEA MIKATABA YA UBINAFSISHWAJI

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa amewataka wenye viwanda vya sukari nchini kurejea mikataba ya uzalishaji walioafikiana na Serikali kujiridhisha iwapo inaenda sambamba na masharti waliokubaliana.
Mhe. Bashungwa aliyasema hayo mkoani Kilimanjaro alipofanya ziara katika kiwanda cha cha kuzalisha sukari cha TPC ili kujiridhisha na hali ya uzalishaji viwandani hapa.
Kuna viwanda vinne Kagera sugar, Mtibwa Sugar, Kilombero Sugar na TPC wakati vinabinafsishwa vilipewa malengo...

 

10 years ago

GPL

BINTI WA KIARABU ALEWA, AFANYA VIOJA

Pombe si chai! Binti mrembo mwenye asili ya Kiarabu ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta akifanya vioja baada ya kulewa chakari na kusababisha midume kumtolea udenda, Ijumaa Wikienda lilimpiga chabo. Binti huyo ambaye hakufahamika jina lake mara moja akifanya yake. Tukio hilo la aibu lilijiri kwenye onesho la Kundi la Mashauzi Classic ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar ambapo lilikuwa… ...

 

9 years ago

Raia Mwema

Vioja kampeni za urais kuhusu ajenda ya ufisadi

HAPO kale na kabla ya mfumo wa vyama vingi nchini, neno “ufisadi” lilikuwa halijulikani kwenye ms

Joseph Mihangwa

 

10 years ago

GPL

TFF YATANGAZA VIINGILIO VYA AZAM VS YANGA

Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Boniface Wambura akiwa mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari mbalimbali wakimsikiliza Wambura.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA magamba yanavuka yenyewe

HADI sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina kila sababu ya kujivuna, katika mambo yote kina jambo moja kubwa la kujivunia, ukomavu wa kisiasa. Ukomavu huo unadhihirisha kuwa CHADEMA...

 

10 years ago

Habarileo

Pinda- Dunia inajimaliza yenyewe

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema tatizo la mabadiliko ya tabianchi na athari zake kwa dunia ni kubwa, hivyo kama suala hilo halitapewa kipaumbele na uzito stahiki, dunia itajimaliza yenyewe.

 

11 years ago

GPL

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TOKA TFF

Rais wa TFF, Jamal Malinzi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani