Pinda- Dunia inajimaliza yenyewe
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema tatizo la mabadiliko ya tabianchi na athari zake kwa dunia ni kubwa, hivyo kama suala hilo halitapewa kipaumbele na uzito stahiki, dunia itajimaliza yenyewe.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog12 Sep
Pinda akutana na ujumbe wa Benki ya Dunia
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati,baada ya mazungumzo kati yake na ujumbe wa Benki hiyo mjini Dodoma Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati (kulia) baada ya...
11 years ago
Dewji Blog24 Jun
Pinda ahudhuria mkutano wa Benki ya Dunia
Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda akizungumza na waandishi wa habari nje ya Hotel ya Serena ambapo alihudhuria Mkutano wa Tano unaohusu masuala ya Uchumi,kulia kwake ni mkurugenzi wa benki ya Dunia nchini Ndugu Philippe Dongier.
Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Philippe Dongier akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa kivukoni Serena Hotel jijini Dar es Salaam, akiwa pamoja na Mwandishi wa Mada Ndugu Jacques Morisset ambapo aliwaeleza waandishi hao...
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
CHADEMA magamba yanavuka yenyewe
HADI sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina kila sababu ya kujivuna, katika mambo yote kina jambo moja kubwa la kujivunia, ukomavu wa kisiasa. Ukomavu huo unadhihirisha kuwa CHADEMA...
10 years ago
Mwananchi23 Apr
CCM inatengeneza wapinzani wake yenyewe
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
Ukawa inajifunga goli la mkono yenyewe!
SITAKI kuamini kwamba safari ya vyama vya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), mwisho wake ni kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.
Sitaki kuamini kutokana na matamko yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa umoja huu baada ya uamuzi wao wa kususia
mijadala iliyokuwa ikiendelea ndani ya Bunge Maalumu la Katiba chini ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta.
Ilikuwa ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, aliyehamasisha wajumbe wa Bunge...
10 years ago
Habarileo03 Apr
TRL yatamba sasa kujiendesha yenyewe
KAMPUNI ya Reli nchini (TRL) imetamba kuwa sasa ni mwanzo kwa kampuni hiyo kujiendesha kibiashara na kuipunguzia mzigo serikali.
9 years ago
Vijimambo27 Oct
10 years ago
Mwananchi22 Jun
TFF na vioja vya mikataba iliyojifunga yenyewe!
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-rqTubKysjU8/U-j09nlCF6I/AAAAAAAF-ik/cf0C2FboFws/s72-c/unnamed+(8).jpg)
mama pinda katika mkutano wa Dunia wa masuala ya Amani, Usalama na Maendeleo jijini Seoul, Korea Kusini.
![](http://3.bp.blogspot.com/-rqTubKysjU8/U-j09nlCF6I/AAAAAAAF-ik/cf0C2FboFws/s1600/unnamed+(8).jpg)