TFF yafagilia marefa kupigwa
Wakati beki wa zamani wa kushoto wa Yanga, Stephano Mwasika alifungiwa mwaka mzima kwa kumpiga refa, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa adhabu inayolea vurugu michezoni kwa kumfungia mechi tatu winga Haroun Chanongo wa Stand United kwa kumpiga mwamuzi.
Nahodha wa zamani wa Manchester United, Eric Cantona alifungiwa miezi nane na kutozwa faini ya paundi 30,000 (Sh. milioni 79) kwa kumpiga teke shabiki aliyekuwa jukwaani, lakini TFF jana ilitangaza kumfungia Chanongo mechi tatu tu na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLNATIONAL GEOGRAPHIC WASHINGTON, DC YAFAGILIA MBUGA ZA WANYAMA ZA TANZANIA
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Marefa Ilala wawapiga tatu Kinondoni
TIMU ya waamuzi wa soka Wilaya ya Ilala, wameingia mwaka 2014 kwa majigambo baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya wenzao wa Kinondoni katika mchezo uliopigwa...
11 years ago
BBCSwahili08 Aug
Webb kuelezea uamuzi wa marefa kwa umma
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-SZo6Ey4n678/U_DFbM-Sx_I/AAAAAAAGARs/iGf960dRBCQ/s72-c/images.jpg)
TAARIFA KUTOKA TFF LEO: TFF KUREJESHA OFISI ZAKE KARUME, MUDA WA USAJILI WAONGEZWA KWA SIKU KUMI
![](http://4.bp.blogspot.com/-SZo6Ey4n678/U_DFbM-Sx_I/AAAAAAAGARs/iGf960dRBCQ/s1600/images.jpg)
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeamua kurejesha ofisi zake Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa vile mipango ya uendelezaji wa eneo hilo bado haijakwenda kama ilivyopangwa awali. Uamuzi huo ni moja ya maazimio yaliyofikiwa kati ya Kamati ya Utendaji ya TFF na ujumbe wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) uliokuwepo nchini kwa wiki nzima kwa ajili ya kufanya mapitio (review) ya uendeshaji wa TFF. Akizungumza Dar es Salaam leo (Agosti 17 mwaka huu), kiongozi wa ujumbe...