Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marefa Ilala wawapiga tatu Kinondoni

TIMU ya waamuzi wa soka Wilaya ya Ilala, wameingia mwaka 2014 kwa majigambo baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya wenzao wa Kinondoni katika mchezo uliopigwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Umeya Kinondoni, Ilala mvurugano

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kimeng’amua mbinu za CCM kutaka kuwatumia mawaziri walioteuliwa na Rais kuwa wabunge, kushiriki vikao vya madiwani vitakavyochagua mameya wa Manispaa za Kinondoni na Ilala ili kushinda viti hivyo.

 

11 years ago

GPL

KAMERA YA GLOBAL ILIPOVINJARI KINONDONI NA ILALA

Mwanamuziki  wa Bendi ya Diamond Musica ya jijini Dar es Salaam, River Sultan,  akiwa kwenye pozi maeneo ya Mango Garden, Kinondoni,  baada kujipiga ‘soap-soap’ jana.
Mtoto huyu alinaswa maeneo ya Ilala-Karume jijini Dar es Salaam akiwa ametekwa na usingizi kiasi cha kujisahau kama yupo kibaruani.
NA: MAYASA…

 

9 years ago

Habarileo

Kinondoni, Ilala mabingwa ARS Dar

MICHUANO ya vijana chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars (ARS) Mkoa wa Dar es Salaam chini ya Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), ilimalizika rasmi jana baada ya kushuhudia Kinondoni wakiibuka mabingwa kwa upande wa wasichana huku kwa upande wa wavulana Ilala wakiibuka mabingwa.

 

9 years ago

Habarileo

Waziri awashukia watendaji Kinondoni, Ilala

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama ameacha taharuki kwa baadhi ya watendaji wa Manispaa za Kinondoni na Ilala jijini Dar es Salaam ya kuweza ‘kukosa kazi’ hasa kutokana na kushindwa kutekeleza maagizo waliyotakiwa, likiwemo la Rais mstaafu, Jakaya Kikwete.

 

9 years ago

MillardAyo

UKAWA na mikakati ya kupata Meya wa Kinondoni na Ilala imefikia hapa…

Leo viongozi wa CHADEMA wamekutaka na kuzungumza mambo mbalimbali mbele ya waandishi wa habari. Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salum Mwalimu amezungumzia mchakato wa kuwapata Mameya watakaowakilisha Wilaya za Kinondoni na Ilala. Upatikanaji wa Meya wa Ilala na Kinondoni wamejibu kuwa..“CCM inaendeleza falsafa yao ile ile ya kujiona wao wanaweza wakapindisha mambo kadri wawezavyo, leo […]

The post UKAWA na mikakati ya kupata Meya wa Kinondoni na Ilala imefikia hapa… appeared first on...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA MKUYA ATEMBELEA MANISPAA ZA ILALA, KINONDONI NA TEMEKE KUKAGUA UKUSANYAJI WA KODI

 Na Rose MasakaWAZIRI wa Fedha Bi. Saada Mkuya amefanya ziara yake ya kikazi katika Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam ili  kupata taarifa za makusanyo ya kodi za majengo ikiwa ni eneo moja kati ya maeneo sita ambayo yamepewa kipaumbele katika suala la ukusanyaji wa kodi kama vile eneo la kilimo na miundombinu.

Bi. Saada Mkuya aliahidi kufanya ziara hiyo katika kikao kilichofanyika wiki iliyopita baada ya kurudisha zoezi la ukusanyaji wa kodi za majengo katika Serikali za Mitaa ili kuona...

 

10 years ago

Vijimambo

HOSPITALI ZA RUFAA ZA WILAYA YA TEMEKE-KINONDONI NA ILALA ZANUFAIKA NA MASHINE ZA KUWASAIDIA WATOTO NJITI TOKA VODACOM FOUNDATION‏

Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Tanzania, Renatus Rwehikiza(kushoto)akimkabidhi moja ya mashine ndogo kati ya tatu za kufyonza uchafu kwa watoto Njiti kwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magembe kwa niaba ya Hospitali tatu za rufaa za Wilaya ya Temeke,Kinondoni na Ilala.Msaada huo ulitolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Pamoja na Vodacom kwa kushirikiana na Doris Mollel Foundation.Wanaoshuhudia wapili toka kushoto ni Dkt.Vicent Mboya na Doris...

 

10 years ago

GPL

HOSPITALI ZA RUFAA ZA WILAYA YA TEMEKE-KINONDONI NA ILALA ZANUFAIKA NA MASHINE ZA KUWASAIDIA WATOTO NJITI TOKA VODACOM FOUNDATION‏

Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Tanzania, Renatus Rwehikiza(kushoto)akimkabidhi moja ya mashine ndogo kati ya tatu za kufyonza uchafu kwa watoto Njiti kwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magembe kwa niaba ya Hospitali tatu za rufaa za Wilaya ya Temeke,Kinondoni na Ilala.Msaada huo ulitolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Pamoja na Vodacom kwa kushirikiana na Doris Mollel...

 

10 years ago

Vijimambo

TFF yafagilia marefa kupigwa

Wakati beki wa zamani wa kushoto wa Yanga, Stephano Mwasika alifungiwa mwaka mzima kwa kumpiga refa, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa adhabu inayolea vurugu michezoni kwa kumfungia mechi tatu winga Haroun Chanongo wa Stand United kwa kumpiga mwamuzi.

Nahodha wa zamani wa Manchester United, Eric Cantona alifungiwa miezi nane na kutozwa faini ya paundi 30,000 (Sh. milioni 79) kwa kumpiga teke shabiki aliyekuwa jukwaani, lakini TFF jana ilitangaza kumfungia Chanongo mechi tatu tu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani