Umeya Kinondoni, Ilala mvurugano
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kimeng’amua mbinu za CCM kutaka kuwatumia mawaziri walioteuliwa na Rais kuwa wabunge, kushiriki vikao vya madiwani vitakavyochagua mameya wa Manispaa za Kinondoni na Ilala ili kushinda viti hivyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Madiwani wanne Chadema wajitokeza umeya Kinondoni
9 years ago
Habarileo17 Dec
Waziri awashukia watendaji Kinondoni, Ilala
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama ameacha taharuki kwa baadhi ya watendaji wa Manispaa za Kinondoni na Ilala jijini Dar es Salaam ya kuweza ‘kukosa kazi’ hasa kutokana na kushindwa kutekeleza maagizo waliyotakiwa, likiwemo la Rais mstaafu, Jakaya Kikwete.
11 years ago
GPLKAMERA YA GLOBAL ILIPOVINJARI KINONDONI NA ILALA
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Marefa Ilala wawapiga tatu Kinondoni
TIMU ya waamuzi wa soka Wilaya ya Ilala, wameingia mwaka 2014 kwa majigambo baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya wenzao wa Kinondoni katika mchezo uliopigwa...
9 years ago
Habarileo29 Aug
Kinondoni, Ilala mabingwa ARS Dar
MICHUANO ya vijana chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars (ARS) Mkoa wa Dar es Salaam chini ya Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), ilimalizika rasmi jana baada ya kushuhudia Kinondoni wakiibuka mabingwa kwa upande wa wasichana huku kwa upande wa wavulana Ilala wakiibuka mabingwa.
9 years ago
MillardAyo18 Dec
UKAWA na mikakati ya kupata Meya wa Kinondoni na Ilala imefikia hapa…
Leo viongozi wa CHADEMA wamekutaka na kuzungumza mambo mbalimbali mbele ya waandishi wa habari. Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salum Mwalimu amezungumzia mchakato wa kuwapata Mameya watakaowakilisha Wilaya za Kinondoni na Ilala. Upatikanaji wa Meya wa Ilala na Kinondoni wamejibu kuwa..“CCM inaendeleza falsafa yao ile ile ya kujiona wao wanaweza wakapindisha mambo kadri wawezavyo, leo […]
The post UKAWA na mikakati ya kupata Meya wa Kinondoni na Ilala imefikia hapa… appeared first on...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-CAV5oqJXEMg/U8jVNkNMHtI/AAAAAAAF3R0/2TCmxGmNhzQ/s72-c/unnamed+(40).jpg)
WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA MKUYA ATEMBELEA MANISPAA ZA ILALA, KINONDONI NA TEMEKE KUKAGUA UKUSANYAJI WA KODI
10 years ago
Vijimambo17 Jul
HOSPITALI ZA RUFAA ZA WILAYA YA TEMEKE-KINONDONI NA ILALA ZANUFAIKA NA MASHINE ZA KUWASAIDIA WATOTO NJITI TOKA VODACOM FOUNDATIONâ€
![](http://api.ning.com/files/vZBStZ816j1m3O8qbo03w5OVwLqVdsSskUsx3wCua9peWQh1ozT1VhKgwyh1JfsE4nJN5qujVVQhurYRQkzccv722jen7MWy/001.AMANAHOSPITAL.jpg?width=650)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZBStZ816j1m3O8qbo03w5OVwLqVdsSskUsx3wCua9peWQh1ozT1VhKgwyh1JfsE4nJN5qujVVQhurYRQkzccv722jen7MWy/001.AMANAHOSPITAL.jpg?width=650)
HOSPITALI ZA RUFAA ZA WILAYA YA TEMEKE-KINONDONI NA ILALA ZANUFAIKA NA MASHINE ZA KUWASAIDIA WATOTO NJITI TOKA VODACOM FOUNDATION