TFF YAIPONGEZA AFRIKA KUSINI KWA KUFUZU AFCON
![](http://1.bp.blogspot.com/-d9SpGLgknfk/VGnVbBD1wzI/AAAAAAAGxx4/pFCyNLjYrd0/s72-c/Nembo-ya-TFF.jpg)
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa pongezi kwa Chama cha Mpira wa Miguu Afrika Kusini (SAFA) kufuatia timu yake ya Taifa (Bafana Bafana) kufuzu kucheza fainali zijazo za AFCON nchini Equatorial Guinea.
Afrika Kusini iliifunga Sudan mabao 2-1, hivyo kufuzu kabla ya kukamilisha michezo yote. Bafana Bafana bado imebakiza mchezo mmoja katika hatua hiyo.
Wakati huo huo, TFF imeipeleka barua ya shukrani kwa Chama cha Mpira wa Miguu Afrika Kusini (SAFA) kwa kufanikisha kambi ya Taifa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Afrika Kusini yajitoa mapema kuwa mwenyeji AFCON 2015
10 years ago
BBCSwahili26 May
Kufuzu AFCON:Taifa Stars yajiandaa
10 years ago
StarTV16 Oct
Kufuzu AFCON, DRC yaipiga Ivory Cost 4-3.
Usiku wa kuamkia leo ulikuwa ni usiku wa bara la Afrika huku timu kadhaa zikijitupa uwanjani kutafuta tiketi ya kufuzu kwa fainali za mataifa ya Afrika yatakayofanyika mwakani huko nchini Moroko.
Tunisia walikuwa wenyeji kucheza dhidi ya Senegal, hadi kipyenga cha mwisho Tunisia ikaibanjua Senegal bao 1-0.
Nao mabingwa wa kihistoria Misri walimenyana na Botswana, hadi mwisho wa mchezo huo wenyeji Misri wakaibuka kidedea kwa kuwaangamiza wageni wao bao 2-0.
Mashabiki wa Ivory Coast...
10 years ago
Mwananchi10 Nov
KUFUZU AFCON 2015: Nigeria, Ivory Coast zakalia kuti kavu
10 years ago
BBCSwahili11 Sep
Mechi za kufuzu fainali za kombe Afrika
11 years ago
GPLSTARS YASHINDWA KUFUZU KOMBE LA MATAIFA AFRIKA
10 years ago
Vijimambo01 Mar
AZAM YATOLEWA KUWANIA KUFUZU KLABU BINGWA AFRIKA
![azam sudan 3](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/azam-sudan-3.jpg)
10 years ago
Mwananchi26 Aug
TFF yaomba kuandaa Afcon 2017
10 years ago
TheCitizen26 Aug
SOCCER: TFF eyes Afcon hosting rights