Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kufuzu AFCON, DRC yaipiga Ivory Cost 4-3.

Usiku wa kuamkia leo ulikuwa ni usiku wa bara la Afrika huku timu kadhaa zikijitupa uwanjani kutafuta tiketi ya kufuzu kwa fainali za mataifa ya Afrika yatakayofanyika mwakani huko nchini Moroko.

 
Tunisia walikuwa wenyeji kucheza dhidi ya Senegal, hadi kipyenga cha mwisho Tunisia ikaibanjua Senegal bao 1-0.

 
Nao mabingwa wa kihistoria Misri walimenyana na Botswana, hadi mwisho wa mchezo huo wenyeji Misri wakaibuka kidedea kwa kuwaangamiza wageni wao bao 2-0.

 
Mashabiki wa Ivory Coast...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

KUFUZU AFCON 2015: Nigeria, Ivory Coast zakalia kuti kavu

>Timu za Nigeria na Ivory Coast zipo katika wakati mgumu wa kufuzu kushiriki Fainali za Mataifa (Afcon 2015) baada ya kuwa katika nafasi za chini katika makundi yao.

 

10 years ago

BBCSwahili

DRC yaiabisha Ivory Cost

Usiku wa kuamkia leo ulikuwa wa bara la Afrika , timu kadhaa zikijitupa uwanjani kutafuta kufuzu fainali za mataifa ya Afrika .

 

10 years ago

BBCSwahili

Kufuzu AFCON:Taifa Stars yajiandaa

Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mdachi Mart Nooij, amewaita wachezaji 16 kwa ajili ya maandalizi

 

10 years ago

Michuzi

TFF YAIPONGEZA AFRIKA KUSINI KWA KUFUZU AFCON

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa pongezi kwa Chama cha Mpira wa Miguu Afrika Kusini (SAFA) kufuatia timu yake ya Taifa (Bafana Bafana) kufuzu kucheza fainali zijazo za AFCON nchini Equatorial Guinea.
Afrika Kusini iliifunga Sudan mabao 2-1, hivyo kufuzu kabla ya kukamilisha michezo yote. Bafana Bafana bado imebakiza mchezo mmoja katika hatua hiyo.
Wakati huo huo, TFF imeipeleka barua ya shukrani kwa Chama cha Mpira wa Miguu Afrika Kusini (SAFA) kwa kufanikisha kambi ya Taifa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ivory Coast kuwakosa Bony, Kalou na Toure katika mchezo wao wa kufuzu kombe la dunia Urusi 2018

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ivory Coast, Wilfred BonyMchezaji wa Ivory Coast, Wilfred Bony

Na Rabi Hume

Timu ya Taifa ya Ivory Coast itakosa huduma ya wachezaji wake watatu muhimu katika mchezo wa kutafuta nafasi ya kucheza kombe la dunia dhidi ya Liberia.

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ivory Coast, Michael Dussuyer amewataja wachezaji hao kuwa ni Wilfred Bony, Solomon Kalou na Thomas Toure.

Kocha Dussuyer amesema tayari tayari ameita wachezaji wengine ambao watazipa nafasi zao ambao ni mshambuliaji Roger Assele na beki Arthur Baka ambao...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi waandamana,Ivory Cost

Wanajeshi wanaoandamana nchini Ivory Coast wameingia ndani ya majengo ya radio ya taifa hilo katika mji wa Bouaké.

 

10 years ago

BBCSwahili

AFCON: DRC yasonga, Zambia yaaga

Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imekuwa timu pekee kutoka ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kusonga hatua ya hatua ya robo fainali ya michuano Kombe la Mataifa ya Afrika

 

10 years ago

GPL

DRC, TUNISIA ZATINGA ROBO FAINALI AFCON 2015

Zambia wakikwaana na Cape Verde leo. TIMU za Tunisia na DR Congo zimefanikiwa kutinga hatua ya Robo Fainali Afcon 2015 kutoka Kundi B huku Cape Verde na Zambia zikiaga mashindano hayo yanayoendelea huko Equitorial Guinea. DRC wakimenyana na Tunisia. Timu hizo zimetinga hatua hiyo baada ya kutoka sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wao wa mwisho uliopigwa leo huku Zambia na Cape Verde wakitoka suluhu na kuondolewa. Zambia na… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani