Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanajeshi waandamana,Ivory Cost

Wanajeshi wanaoandamana nchini Ivory Coast wameingia ndani ya majengo ya radio ya taifa hilo katika mji wa Bouaké.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Boko Haram:Wake wa Wanajeshi waandamana

Wake wa wanajeshi waandamana katika mji wa Maiduguri kupinga waume wao kutumwa Gwoza kukabili Boko haram.

 

10 years ago

BBCSwahili

DRC yaiabisha Ivory Cost

Usiku wa kuamkia leo ulikuwa wa bara la Afrika , timu kadhaa zikijitupa uwanjani kutafuta kufuzu fainali za mataifa ya Afrika .

 

10 years ago

StarTV

Kufuzu AFCON, DRC yaipiga Ivory Cost 4-3.

Usiku wa kuamkia leo ulikuwa ni usiku wa bara la Afrika huku timu kadhaa zikijitupa uwanjani kutafuta tiketi ya kufuzu kwa fainali za mataifa ya Afrika yatakayofanyika mwakani huko nchini Moroko.

 
Tunisia walikuwa wenyeji kucheza dhidi ya Senegal, hadi kipyenga cha mwisho Tunisia ikaibanjua Senegal bao 1-0.

 
Nao mabingwa wa kihistoria Misri walimenyana na Botswana, hadi mwisho wa mchezo huo wenyeji Misri wakaibuka kidedea kwa kuwaangamiza wageni wao bao 2-0.

 
Mashabiki wa Ivory Coast...

 

10 years ago

GPL

IVORY COST: DROGBA ATUMIA MAMILIONI KUJENGA HOSPITALI

Mshambuliaji wa Chelsea Didier Drogba. Mshambuliaji wa timu ya Chelsea F.C. Didier Drogba amezindua hospitali ya kwanza, kubwa na ya aina yake kati ya tano alizo wahi kuahidi kuzijenga kama sehemu ya kujitolea kwa jamii yake . Hospitali hiyo iko wilaya ya Attécoubé katika mji wa kibiashara wa Abidjan, hospitali hiyo imemgharimu nguli huyo wa kandanda kiasi cha dola milioni moja za kimarekani ili kukamilisha mjengo huo wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi kutimiziwa madai Ivory Coast

Waziri wa ulinzi wa Ivory Coast, Paul Koffi,ametoa amri wanajeshi warudi kwenye kambi zao baada ya kufanya maandamano.

 

9 years ago

Zegabi

Chinese 'Ivory Queen' to Fight Ivory Smuggling Charges in Tanzania


Zegabi
Chinese 'Ivory Queen' to Fight Ivory Smuggling Charges in Tanzania
Zegabi
8979794_G A 66-year-old Chinese woman who was arrested by a specialized wildlife task force in Tanzania last week will fight charges that she masterminded a multinational crime syndicate involved in smuggling over 700 tusks to Asia. On Monday, Yang ...
Chinese 'Ivory Queen' innocent, will fight Tanzanian charges- lawyerReuters Africa
Chinese 'Queen of Ivory' Arrested in TanzaniaEnvironment News Service
Wildlife...

 

9 years ago

Christian Science Monitor

Will arrest of the 'Queen of Ivory' dent illegal ivory trade?


Christian Science Monitor
Will arrest of the 'Queen of Ivory' dent illegal ivory trade?
Christian Science Monitor
A Chinese businesswoman who has lived in Africa for decades was arrested for smuggling millions of dollars worth of poached elephant tusks. By Lonnie Shekhtman, Staff October 11, 2015. Save for later Saved. close. In this photo taken on Wednesday, ...
Wildlife activists praise arrest of Chinese womanIPPmedia
In praise of anti-poaching task forceDaily News | The National Newspaper...

 

5 years ago

CCM Blog

WAJERUMANI WAANDAMANA

    Wajerumani waandamana kupinga mashambulizi ya kibaguzi ya Hanau, ulinzi wazidishwa kwenye misikitiMaelfu ya Wajerumani wamefanya maandamano katika miji kadhaa ya nchi hiyo wakilaani mashambulizi ya kibaguzi yaliyotokea katika eneo la Hanau lililoko karibu ya mji wa Frankfurt.Maandamano hayo ya kupinga ubaguzi yamefanyika katika zaidi ya miji 50 ya Ujerumani ambako waandamanaji wamelaani vikali mashambulizi yaliyofanywa na raia mmoja wa nchi hiyo aliyekuwa na misimamo ya kufurutu ada na ya kibaguzi katika mji wa Hanau. Wakati huo huo serikali ya Ujerumani imezidisha ulinzi katika...

 

5 years ago

CCM Blog

MAREKNI WAANDAMANA

Waandamanaji nchini Marekani wameingia mitaani katika majimbo kadhaa wakishinikiza magavana kufungua uchumi wa majimbo yao kwa kuondosha amri ya kutokutoka nje ama 'lockdown'.

Marufuku hiyo ya kutokutoka nje imewekwa katika majombo yote ya Marekani ili kudhibiti kusambaa kwa janga la virusi vya corona, hali iliyotikisa uchumi wa taifa hilo kubwa zaidi kiuchumi duniani.

Maaandamano yameripotiwa jana Jumapili katika majimbo ya Arizona, Colorado, Montana na Washington, huku mwendelezo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani