Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAJERUMANI WAANDAMANA

    Wajerumani waandamana kupinga mashambulizi ya kibaguzi ya Hanau, ulinzi wazidishwa kwenye misikitiMaelfu ya Wajerumani wamefanya maandamano katika miji kadhaa ya nchi hiyo wakilaani mashambulizi ya kibaguzi yaliyotokea katika eneo la Hanau lililoko karibu ya mji wa Frankfurt.Maandamano hayo ya kupinga ubaguzi yamefanyika katika zaidi ya miji 50 ya Ujerumani ambako waandamanaji wamelaani vikali mashambulizi yaliyofanywa na raia mmoja wa nchi hiyo aliyekuwa na misimamo ya kufurutu ada na ya kibaguzi katika mji wa Hanau. Wakati huo huo serikali ya Ujerumani imezidisha ulinzi katika...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAJERUMANI KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA UJANGILI

DSC_0080 Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Dkt. Frank Steinmeier akizungumza waandishi wa habari kwenye mkutano huo jijini Dar es Salaam na kuelezea mafanikio ya ushirikiano wa nchi hizo mbili. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Bernard Membe.(Picha na Zainul Mzige).
Na Damas Makangale
HUKU Tembo wakiendelea kuuawa katika mbuga kadhaa nchini, Serikali ya Ujerumani imeahidi kutoa ushirikiano wa kutosha katika kupambana tatizo la ujangili...

 

11 years ago

GPL

ARGENTINA YALIPA KISASI KWA WAJERUMANI, YAWAPIGA 4-2

Nyota wa mchezo, Angel di Maria akiifungia Argentina bao la nne. Di Maria akitoa pasi ya bao kwa Aguero (hayupo pichani).…

 

5 years ago

BBCSwahili

Hadi 70% ya Wajerumani katika hatari ya kuambukizwa Coronavirus

Kansela wa Ujerumani ameonya kuwa karibu watu milioni 58 wako katika hatari ya kuambukizwa virusi vya corona.

 

5 years ago

Michuzi

Merkel: 60% hadi 70% ya Wajerumani huenda wakakumbwa na Corona

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amesema yumkini asilimia 60 hadi 70 ya jamii ya nchi hiyo ya Ulaya itaambukizwa virusi vya Corona.

Merkel alisema hayo jana Jumanne mbele ya Bunge la nchi hiyo ambalo lilipokea kwa mshtuko mkubwa takwimu hizo za kuogofya za Kansela wa nchi hiyo.

Amesema ikilazimu, vikao vya Bunge la nchi hiyo ya Ulaya vitasimamishwa, sambamba na kufutwa kwa mikutano na shughuli zenye mijumuiko ya watu wengi. Hata hivyo hajaeleza serikali yake imejiandaa vipi kukabiliana na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkalama watakiwa kulikarabati jengo la kihistoria la Wajerumani

DSC03272

Gofu la nyumba iliyokuwa makazi ya kiongozi wa Wajerumani waliokuwa wakilima zao la mpira kuanzia mwaka wa 1905. Imedaiwa Wajerumani hao walikuja nyang’anywa makazi hayo na Waingereza. Makazi hayo endapo yatafanyiwa ukarabati na kutangazwa kikamilifu, yatavutia watalii wa ndani  na nje ya nchi na hivyo kuiingizia kipato kikubwa halmashauri ya Mkalama.

Na Nathaniel Limu, Mkalama

HALMASHAURI  ya wilaya ya Mkalama  Mkoa wa Singida, imeshauriwa kuzingatia uwezekano wa kulikarabati na kulilinda ...

 

10 years ago

Habarileo

Wajerumani wasaidia VETA kufua mafundi stadi

TANZANIA itafaidika kwa kupata mafundi stadi mahiri kama walivyo Wajerumani, baada ya kuzinduliwa kwa awamu ya pili ya Mafunzo ya Uanagenzi, yatakayoendeshwa na Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa ushirikiano na serikali ya Ujerumani kupitia Taasisi ya Hamburg Chamber of Skilled Craft.

 

11 years ago

Mwananchi

Ng’wanamalundi; Mtu wa miujiza aliyeutesa utawala wa Wajerumani (2)

Wiki iliyopita tuliona jinsi Ng’wanamalundi alivyokuwa katika harakati za kusaka umaarufu wa kucheza ngoma anakutana na Bibi Kizee ambaye anampa uwezo wa kufanya maajabu. Anakutana na Mtemi Chilya na kuanza kuonyesha uwezo wake wa kufanya maajabu. Sasa endelea…

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na Wajerumani wafanyika Berlin

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake YA UFUNGUZI WA katika Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na Ujerumani uliofanyika Mjini Berlin.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akiwa na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa Gabonese Mhe,Jean ClaudeBouyobartkabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na Wajerumani uliofanyika Mjini Berlin Nchini Ujerumani.Mawaziri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani