Mkalama watakiwa kulikarabati jengo la kihistoria la Wajerumani
Gofu la nyumba iliyokuwa makazi ya kiongozi wa Wajerumani waliokuwa wakilima zao la mpira kuanzia mwaka wa 1905. Imedaiwa Wajerumani hao walikuja nyang’anywa makazi hayo na Waingereza. Makazi hayo endapo yatafanyiwa ukarabati na kutangazwa kikamilifu, yatavutia watalii wa ndani na nje ya nchi na hivyo kuiingizia kipato kikubwa halmashauri ya Mkalama.
Na Nathaniel Limu, Mkalama
HALMASHAURI ya wilaya ya Mkalama Mkoa wa Singida, imeshauriwa kuzingatia uwezekano wa kulikarabati na kulilinda ...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
Wapangaji jengo la Treni Mji Mkongwe watakiwa kuhama jengo hilo
Na Abdulla Ali, Maelezo-Zanzibar
Serikali haitoridhia kuwabakisha Wapangaji na Wafanyabiashara katika jengo la Treni ili kuepusha maafa na kuokoa maisha ya Wananchi na mali zao.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Zanzibar Mhe. Ramadhan Abdulla Shaaban wakati wa mkutano wa mzungumzo ya pamoja kati ya Wapangaji na Wafanyabiashara wanaolitumia jengo hilo na Serikali uliofanyika katika ofisi ya Mamlaka ya Mji Mkongwe iliopo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGhEnDqfpxZqkVjKs7GXPX9wNtohxUiZtKWLPFUhnaYWZ-FgeVpsKC-EPJKUKT2No-F3r8X0ohvXsJcKQ6Mfz9E*/44.jpg?width=650)
JENGO LA KIHISTORIA LAPOROMOKA HUKO ZANZIBAR
5 years ago
CCM Blog22 Feb
WAJERUMANI WAANDAMANA
![Wajerumani waandamana kupinga mashambulizi ya kibaguzi ya Hanau, ulinzi wazidishwa kwenye misikiti](https://media.parstoday.com/image/4bv678eba8ded61ls24_800C450.jpg)
11 years ago
Michuzi27 Mar
WAJERUMANI KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA UJANGILI
![DSC_0080](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/DSC_0080.jpg)
Na Damas Makangale
HUKU Tembo wakiendelea kuuawa katika mbuga kadhaa nchini, Serikali ya Ujerumani imeahidi kutoa ushirikiano wa kutosha katika kupambana tatizo la ujangili...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FNBkuUtHweY/XmlRZ0DOb_I/AAAAAAALisw/uTLAFX2eZucBwyf6rbkP1LP0jtpwG8SWQCLcBGAsYHQ/s72-c/4bv72d8bd738f41m614_800C450.jpg)
Merkel: 60% hadi 70% ya Wajerumani huenda wakakumbwa na Corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-FNBkuUtHweY/XmlRZ0DOb_I/AAAAAAALisw/uTLAFX2eZucBwyf6rbkP1LP0jtpwG8SWQCLcBGAsYHQ/s640/4bv72d8bd738f41m614_800C450.jpg)
Merkel alisema hayo jana Jumanne mbele ya Bunge la nchi hiyo ambalo lilipokea kwa mshtuko mkubwa takwimu hizo za kuogofya za Kansela wa nchi hiyo.
Amesema ikilazimu, vikao vya Bunge la nchi hiyo ya Ulaya vitasimamishwa, sambamba na kufutwa kwa mikutano na shughuli zenye mijumuiko ya watu wengi. Hata hivyo hajaeleza serikali yake imejiandaa vipi kukabiliana na...
10 years ago
Habarileo12 Jul
Wajerumani wasaidia VETA kufua mafundi stadi
TANZANIA itafaidika kwa kupata mafundi stadi mahiri kama walivyo Wajerumani, baada ya kuzinduliwa kwa awamu ya pili ya Mafunzo ya Uanagenzi, yatakayoendeshwa na Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa ushirikiano na serikali ya Ujerumani kupitia Taasisi ya Hamburg Chamber of Skilled Craft.
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Ng’wanamalundi; Mtu wa miujiza aliyeutesa utawala wa Wajerumani (2)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BIHCTCFFxEXcCzOxQFOsWFq2aiy9uMQGD-rnDRFv6EW5K8JsOwa*UuqYAH7GZc*vHeFSVu9TGLLhZ7XFCRYWzUvlWH5vGIcr/1.jpg?width=650)
ARGENTINA YALIPA KISASI KWA WAJERUMANI, YAWAPIGA 4-2
5 years ago
BBCSwahili11 Mar
Hadi 70% ya Wajerumani katika hatari ya kuambukizwa Coronavirus