Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JENGO LA KIHISTORIA LAPOROMOKA HUKO ZANZIBAR‏

Jengo moja la gorofa laporomoka huko Zanzibar katika eneo la kihistoria Jaws Corner ndani ya manispaa ya mji mkongwe Zanzibar. Taarifa zinasema wananchi wa karibu na eneo hilo wakishirikiana na vikosi maalumu vya serikali vinaendelea kufanya jitihada mbali mbali katika eneo hilo ikiwemo kuhakikisha hakuna athari zaidi zitakazoweza kutokea. Baadhi ya shuhuda mmoja ameiambia mazrui media kuwa watu wana wasiwasi juu ya uwepo wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Jengo laporomoka na kuwaua watu Nigeria

Watu kadhaa wahofiwa kufariki mjini Lagos Nigeria baada ya jengo moja linalohusishwa na muhubiri mashuhuri kuanguka.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkalama watakiwa kulikarabati jengo la kihistoria la Wajerumani

DSC03272

Gofu la nyumba iliyokuwa makazi ya kiongozi wa Wajerumani waliokuwa wakilima zao la mpira kuanzia mwaka wa 1905. Imedaiwa Wajerumani hao walikuja nyang’anywa makazi hayo na Waingereza. Makazi hayo endapo yatafanyiwa ukarabati na kutangazwa kikamilifu, yatavutia watalii wa ndani  na nje ya nchi na hivyo kuiingizia kipato kikubwa halmashauri ya Mkalama.

Na Nathaniel Limu, Mkalama

HALMASHAURI  ya wilaya ya Mkalama  Mkoa wa Singida, imeshauriwa kuzingatia uwezekano wa kulikarabati na kulilinda ...

 

10 years ago

GPL

VODACOM WASOGEZA HUDUMA KWA WAKAZI WA MJI WA KIHISTORIA WA BAGAMOYO‏

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi (katikati) akiagana na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia (kulia) mara baada ya kuzindua duka jipya la kampuni hiyo lililopo barabara ya soko jipya Bagamoyo mjini mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa kampuni hiyo Upendo Richard.… ...

 

10 years ago

GPL

CCM YABOMOA JENGO LA TANU JIJINI DAR ES SALAAM‏

Wananchi wakiangalia jengo la ofisi ndogo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) la Lumumba, ambapo kilizaliwa chama cha Tanu lililobomolewa kupisha ujenzi wa jengo jipya la chama hicho Dar es Salaam jana Dotto Mwaibale JENGO la ofisi ndogo la Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Lumumba Dar es Salaam ambako ndiko kilizaliwa Chama cha Tanu limebomolewa ili kupisha ujenzi wa jengo jipya la chama hicho. Akizungumza Dar es Salaam jana,...

 

11 years ago

GPL

WABUNGE WA CCM WAUNGURUMA HUKO MTERA MKOANI DODOMA‏

Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi katika kijiji Iringa Mvumi Jimbo la Mtera mkoani Dodoma ambapo Chama cha mapinduzi kimeendelea kuuelimisha umma juu ya masuala ya Maendeleo, utekelezaji wa ilani, maandalizi ya uchaguzi wa serikali za vijiji na mitaa, bunge la katiba na mambo yanayohusu maendeleo ya katika vijiji na wilaya zetu. Pia kuwakumbusha juu ya thamani ya muungano wetu na vipengele...

 

11 years ago

GPL

VODACOM YAFUNGUA DUKA JIPYA LA KISASA JENGO LA QUALITY CENTRE UCHUMI‏

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Silaa wa kwanza toka kulia pamoja na Meneja wa duka hilo Irene Njovu na Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Hassan Saleh wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa duka jipya na la kisasa la Vodacom Tanzania,lililopo Quality Centre katika   barabara ya Nyerere ambalo ni moja ya kituo kikubwa cha biashara jijini Dar es Salaam.… ...

 

10 years ago

Michuzi

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI JENGO LA ABIRIA TERMINAL II ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Serikali wakati alipowasili katika uwekaji wa jiwe la Msingi ujenzi wa jengo jipya la Abiria Terminal II katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo,ujenzi  wa jengo hilo unajengwa na Kampuni kutoka China Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa Jiwe la msingi ujenzi wa jengo...

 

10 years ago

GPL

JENGO LAANGUKA NA KUJERUHI WATU MJI MKONGWE, ZANZIBAR

Kikosi cha Uokoaji kikitoa huduma ya kwanza kwa majeruhi katika eneo la tukio.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani