Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAREKNI WAANDAMANA

Waandamanaji nchini Marekani wameingia mitaani katika majimbo kadhaa wakishinikiza magavana kufungua uchumi wa majimbo yao kwa kuondosha amri ya kutokutoka nje ama 'lockdown'.

Marufuku hiyo ya kutokutoka nje imewekwa katika majombo yote ya Marekani ili kudhibiti kusambaa kwa janga la virusi vya corona, hali iliyotikisa uchumi wa taifa hilo kubwa zaidi kiuchumi duniani.

Maaandamano yameripotiwa jana Jumapili katika majimbo ya Arizona, Colorado, Montana na Washington, huku mwendelezo wa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WAJERUMANI WAANDAMANA

    Wajerumani waandamana kupinga mashambulizi ya kibaguzi ya Hanau, ulinzi wazidishwa kwenye misikitiMaelfu ya Wajerumani wamefanya maandamano katika miji kadhaa ya nchi hiyo wakilaani mashambulizi ya kibaguzi yaliyotokea katika eneo la Hanau lililoko karibu ya mji wa Frankfurt.Maandamano hayo ya kupinga ubaguzi yamefanyika katika zaidi ya miji 50 ya Ujerumani ambako waandamanaji wamelaani vikali mashambulizi yaliyofanywa na raia mmoja wa nchi hiyo aliyekuwa na misimamo ya kufurutu ada na ya kibaguzi katika mji wa Hanau. Wakati huo huo serikali ya Ujerumani imezidisha ulinzi katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi Stemuco waandamana

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Stella Maris (STEMUCO) mkoani Mtwara, wameandamana juzi wakidai kutolipwa posho za malazi na chakula na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kwa miezi mitatu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mamilioni waandamana Brazil

Mamilioni ya wananchi wa Brazil wameandamana kupinga utawala wa Rais Dilma Roussef

 

10 years ago

GPL

WAKAZI WA KUNDUCHI WAANDAMANA

Wakazi wa Kunduchi Dar leo wameandamana kwenda kituo cha polisi Wazo wakidai kukamatwa kimakosa ndugu zao kwa uhuni na uvutaji wa bangi.

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi DIT waandamana

WANAFUNZI wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) leo wameandamana kwenda Wizara ya Sayansi na Teknolojia wakidai hawajaridhishwa na uamuzi wa uongozi wa chuo kuwazuia wanafunzi 684 kufanya mtihani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakulima wa mahindi waandamana

WAKULIMA wa mahindi wilayani hapa, Mkoa wa Mbeya wameandamana hadi ofisi ya Mkuu wa Wilaya ili kujua hatma ya ununuzi wa mahindi yao. Wakizungumza na Tanzania Daima, wakulima hao walisema...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanawake waandamana Uganda

Kundi la wanawake nchini Uganda wanaopinga kuvuliwa nguo kwa mwenzao,limefanya maandamano na kujaribu kuelekea bungeni ili kuwasilisha hoja yao dhidi ya ukatili wa maafisa wa polisi.

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema waandamana vichochoroni

Wafuasi wa Chadema jana waliandamana katika mitaa ya Manzese na kusababisha tafrani baada ya polisi kuwatawanya kwa mabomu ya machozi na risasi.

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu Mbeya waandamana

Zaidi ya walimu 150 wa shule mbalimbali mjini hapa jana waliandamana kuelekea katika ofisi ya mkurugenzi wa jiji kudai madeni ya fedha yaliyolimbikizwa kwa muda mrefu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani