WAKAZI WA KUNDUCHI WAANDAMANA
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
Wakazi wa Kunduchi Dar leo wameandamana kwenda kituo cha polisi Wazo wakidai kukamatwa kimakosa ndugu zao kwa uhuni na uvutaji wa bangi.
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKUNDUCHI WAANDAMANA KWENDA POLISI
9 years ago
StarTV21 Nov
 Wakazi Nyarugusu Geita waandamana kwa madai ya kifo cha mjamzito
Wakazi wa Kijiji cha Nyarugusu wilayani Geita wameandamana hadi katika Zahanati ya kijijini hapo kwa madai ya Nesi kuhusika kusababisha kifo cha mama mjamzito aliyekosa huduma kwa uzembe wa nesi wa zamu.
Inadaiwa kuwa Novemba 18 Marehemu Kabula George alifikishwa katika Zahanati ya Nyarugusu ambapo alipokelewa na Nesi wa Zamu majira ya saa tano usiku.
Nesi huyo alimhudumia na kumwambia asubiri baada ya saa nne na nesi huyo aliondoka na kwenda kulala ambapo Kabula alizidiwa na uchungu...
10 years ago
Vijimambo13 Oct
YANGA YAINGIA KAMBINI KUNDUCHI
![](http://www.youngafricans.co.tz/images/stories/yanga-team.jpg)
Kuelekea kwenye mpambano wa watani wa jadi YANGA Vs SIMBA siku ya jumamosi Oktoba 18, kikosi cha timu ya Young Africans kimeingia kambini leo mchana katika hoteli ya Landmark iliyopo eneo la Kunduchi kujiandaa na mchezo huo ambao umeteka hisia za wapenzi wa soka nchini Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.Kocha mkuu Marcio Maximo ameingia kambini na kikosi cha wachezaji 28 kujiandaa na mchezo huo ambapo kikosi chake kitakua kikifanya mazoezi...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0BjGmzZ4-sK2reFy1H79-LGWvVGhm*B0kw8Ro8YE9Vg0mXWRKgMYLZZvfos4uWm40SC-n*zznB0MjF8tuJ3mWPx/20150826061409.jpg)
KAKA WA GONDWE KUWAGWA KUNDUCHI KESHO, DAR
9 years ago
MichuziDiwani Urio akabidhiwa hati ya uteule kata ya Kunduchi.
10 years ago
Dewji Blog03 Aug
Tamasha la NHC Family Day lafanyika Kunduchi Beach Hotel
Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Mawasiliano waNHC, Bi Suzan Omari akipata maelezo kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa shirika hilo waliokuwa wakisimamia michezo mbalimbali wakati wa tamasha la NHC Family Day lililofanyika kwenye hoteli ya Kunduchi Beach mwishoni mwa wiki likishirikisha wafanyakazi wa shirika hilo jijini Dar es salaam na familia zao na kufahamiana ikiwani pamoja na kubadilishana mawazo.
Wafanyakazi hao wakishindana katika mbio ufukweni.
Mmoja wa wafanyakazi wa NHC akiwa...
10 years ago
Dewji Blog11 Nov
Naibu Mwanasheria wa Serikali afungua mafunzo ya haki za binadamu Kunduchi
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju akitoa hotuba yake kufungua rasmi warsha ya siku tano ya mafunzo ya haki za binadamu kwa maafisa kutoka Taasisi 11 za kitaifa za haki za binadamu za nchi za Afrika Kunduchi Beach Resort mapema jana.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya siku tano ya mafunzo kuhusu masuala ya haki za binadamu wakifuatilia hotuba ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju (hayupo pichani) iliyotolewa jana Kunduchi Beach Resort. Mafunzo hayo...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Sx8FJ0D8Bbs/default.jpg)
10 years ago
MichuziNaibu Mwanasheria wa Serikali afungua mafunzo ya haki za binadamu Kunduchi leo