Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF yaomba kumalizana na Punchlines nje ya mahakama

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Kampuni ya Punchlines Tanzania Limited bado wanaendelea kutafuta suluhu ya mgogoro uliopo kati yao nje ya mahakama.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TFF, Punchlines Tanzania sasa kumalizana nje ya mahakama

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesaini hati ya pili ya makubaliano na Kampuni ya Punchlines Tanzania Limited katika Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara ili kumaliza mgogoro uliopo baina yao.

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yaomba kuandaa Afcon 2017

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza nia ya kuandaa Fainali za Mataifa ya Afrika za 2017 baada ya Libya kujitoa kwa kutokana na sababu za kiusalama.

 

11 years ago

Habarileo

Chadema yaomba Mahakama kutupa kesi ya Zitto

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeomba Mahakama kutupilia mbali kesi ya madai, iliyofunguliwa na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe dhidi yao kwa kuwa haina msingi kisheria. Walidai hayo katika pingamizi la awali, walilowasilisha juzi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kupitia kwa mawakili wao, Peter Kibatala na Tundu Lissu.

 

11 years ago

Mwananchi

IPTL yaomba Mahakama Kuu Dar imfunge mdomo Kafulila

Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ikiomba itoe amri ya kumfunga mdomo Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR- Mageuzi), David Kafulila.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utatuzi wa mashauri ya jinai nje ya mahakama — 2

WIKI iliyopita nilieleza lengo la makala hii ni kujifunza mbinu na umuhimu uliopo katika kutatua mashauri ya jinai nje ya mfumo wa mahakama ili kuepuka matatizo niliyokwisha yaainisha hapo juu....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tambaza: Msikubali kumalizana kiaina

UONGOZI wa Kampuni ya Tambaza Auction Mart umesema una mkataba wa kufanya kazi Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam na kuwataka wananchi kuheshimu sheria na kutokukubali kumalizana vichochoroni wanapokamatwa...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA NJE YA MAHAKAMA KUU DAR KABLA YA HUKUMU YA ZITTO

Polisi wakiwadhibiti wafuasi wa Zitto na wale wanaompinga nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar kabla ya hukumu kutolewa. Wafuasi wa Zitto wakiwa na mabango.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani