Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF yazuia ushabiki ‘CCM, Ukawa’ mechi ya watani

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limewaonya mashabiki wa timu za Simba na Yanga kujihusisha na vitendo vya aina yoyote vyenye mrengo wa kisiasa katika pambano baina ya timu hizo Jumamosi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BONIFACE WAMBURA WA TFF AONGELEA MAANDALZI YA MECHI YA WATANI WA JADI YANGA NA SIMBA

Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumamosi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 7,000. Washabiki watakaolipa kiingilio hicho ni wale watakaokaa viti vya rangi ya bluu na kijani ambavyo jumla yake ni 36,693 katika uwanja huo wenye viti 57,558. Viingilio vingine ni sh. 10,000 kwa viti vya rangi ya chungwa, sh. 20,000 kwa VIP B na C wakati VIP A itakuwa sh. 30,000. Tiketi zitakazotumika kwenye mechi hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mechi ya Watani yaingiza mil. 423/-

MECHI ya watani wa jadi, Simba na Yanga, iliyochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam kuhitimisha siku 75 za kampeni ya Nani Mtani Jembe, imeingiza kiasi cha...

 

10 years ago

GPL

Adui wa Yanga kuchezesha mechi ya watani

Mwamuzi  Israel Mujuni Nkongo. Khadija Mngwai na Wilbert Molandi
MECHI kubwa katika Ligi Kuu ya Bara kati ya timu kongwe pinzani nchini, Simba na Yanga, inatarajiwa kupigwa Oktoba 18, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, gumzo ni kubwa lakini tayari Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtaja mwamuzi atakayesimama katikati siku hiyo. Mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara inasubiriwa kwa hamu na habari ni kuwa, mwamuzi wa siku hiyo ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yaliyojiri mechi ya watani kufunga msimu 2013/2014 

PAZIA la Ligi Kuu Vodacom 2013/14 lilifungwa juzi kwa timu zote 14 kushuka katika viwanja saba tofauti, huku watani wa jadi, Simba na Yanga wakimalizia kwa sare ya bao 1-1...

 

10 years ago

Michuzi

FC KILIMANJARO YAWABAMIZA WATANI WA JADI KENYA 6-1 KWENYE MECHI MAALUM YA AMANI NA UPENDO JIJINI STOCKHOLM, SWEDEN

Timu ya Tanzania, FC Kilimanjaro ambayo ni mabingwa wa soka la Afrika nchini Sweden imepata ushindi mnono wa mabao 6-1 dhidi ya watani wao wa jadi Kenya kwenye mechi maalum ya kirafiki ya Amani na Upendo iliyofanyika jijini Stockholm jana tarehe 11 Aprili, 2015
Mechi hiyo iliandaliwa kwa pamoja na Balozi za Kenya na Tanzania nchini Sweden kwa kushirikiana na wanadiaspora wa nchi hizo kwa madhumuni ya kuonyesha mshikamano na kuziombea nchi zetu amani na upendo kufuatia matukio ya kigaidi...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM yazuia wagombea urais kwenye midahalo

Dodoma. Chama cha Mapinduzi (CCM), kiko katika mchakato wa kumpata mgombea urais na mwenyekiti wake mpya, kimepiga marufuku makada kushiriki katika midahalo yoyote hadi kitakapompata mgombea mmoja.

 

9 years ago

MillardAyo

TFF yawataka Yanga kufanya hivi vinginevyo watakatwa mapato yao ya mechi …

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF limepitia ombi la chama cha wanasoka Tanzania SPUTANZA, TFF ambayo ilipokea ombi la SPUTANZA kushughulikia madai ya muda mrefu ya wachezaji wa zamani wa  Yanga, ambao waliachwa wakati wakiwa bado wanaidai klabu hiyo. December 24 mwenyekiti wa SPUTANZA Musa Kisoki alithibitisha kupatiwa ufumbuzi suala hilo. Wachezaji wanaoidai Yanga […]

The post TFF yawataka Yanga kufanya hivi vinginevyo watakatwa mapato yao ya mechi … appeared first on...

 

10 years ago

BBCSwahili

Pambano la watani wa jadi homa juu

Kuelekea mechi ya ligi kuu nchini Tanzania kati ya watani wa jadi , na mashabiki wapatao milioni 10 watakosa raha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani