The significance of Sarah Baartman
The extraordinary, appalling story of Sarah Baartman
BBC
Habari Zinazoendana
11 years ago
TheCitizen27 Feb
Critical move -- from success to significance
9 years ago
BBC14 Sep
The amazing significance of what a mother-to-be eats
9 years ago
Ykileo![](http://2.bp.blogspot.com/-PRnfT7dwAY8/Vgzf0qQpIyI/AAAAAAAABok/6m8-T3wCv-E/s72-c/0.png)
RECOGNISING SIGNIFICANCE OF CYBER SECURITY AWARENESS
![](http://2.bp.blogspot.com/-PRnfT7dwAY8/Vgzf0qQpIyI/AAAAAAAABok/6m8-T3wCv-E/s200/0.png)
People connect with friends and family, conduct business and banking online and rely on many services, like...
5 years ago
Dove Medical Press19 Mar
Detection of PD-L1 Expression and Its Clinical Significance in Circula | CMAR
9 years ago
Mtanzania16 Dec
Sarah ajivunia kuwaremba wasanii
NA GEORGE KAYALA
MREMBO aliyebahatika kukubalika kwa wasanii wa filamu za Kibongo, Sarah Mapunda, amesema kuwa ana kila sababu ya kujivunia kazi ya kuwaremba waigizaji hao kwa kuwafanyia ‘makeup’ ili wawe na mwonekano
mzuri.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Sarah alisema kuwa karibu waigizaji wote wa filamu nchini wamekuwa wakitegemea huduma yake ya make-up na kwa kiasi kikubwa imemfanya aendeshe maisha yake bila kutetereka, hiyo imetokana na wahusika kumkubali.
“Najivunia kufanya kazi ya...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyX6b85vL9eTLoUfB45SEVZ344e2tWkfUPrcfL6Xl6yiotg6OKRnBs6Oe947Um9bloz5dGA4SwF0r-UE8kgP5WXL/sara1.jpg?width=650)
SARAH MVUNGI: NINA GUNDU NA WANAUME
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VittCBMQg0I-FGNA3NojYGCHnfu5OUm7Mh5lef4iu3*rlB-wW15*oyyK4ySBXN81ntMHhBbT75XzLdXEy3ERh5GaQzS3LcID/sara1.jpg?width=650)
SARAH MVUNGI: ROSE MUHANDO HAJIELEWI
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Sarah: ‘Make-up’ huficha ubaya wa sura za wasanii
NA GEORGE KAYALA
MREMBAJI wa sura za waigizaji wanapokuwa katika harakati za upigaji picha za filamu zao, Sarah Mapunda, amesema kuwa ‘make-up’ husaidia kuficha ubaya wa sura za baadhi ya wasanii wa filamu.
Aliongeza kwamba urembo huwabadilisha wasanii na kuwaweka katika mvuto zaidi ndiyo maana wasiporembwa hushangaza wanapokutana na mashabiki wao kwa kuwa baadhi yao huonekana tofauti na sura zao halisi baada ya kuwafanyia ‘make-ups’.
“Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwafanyia make-up wasanii wa...
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Break Up Day iliniumiza sana kichwa – Sarah Kim
Stori: Ng’osha Gabriel
Mwanamuziki wa Muziki wa Injili, Sarah Kimario ‘Sarah Kim’ ameibuka na kusema kwamba ngoma yake mpya ya Break Up Day ndiyo iliyomuumiza kichwa chake katika kipindi alichokuwa akiitunga.
Akipiga stori na mwandishi wetu, Sarah alifunguka kuwa wakati alipopata wazo la kutunga wimbo wa kumuimbia Mungu, alipata wakati mgumu mno kwani kila idea iliyokuja kichwani mwake, ilionekana kutokufaa mpaka alipoonyeshwa na Roho Mtakatifu nini cha kuandika.“Nilipata wakati mgumu...