THEY HAVE GONE TOO SOON! WAMEKWENDA MAPEMA MNO!
![](http://api.ning.com:80/files/ToQMaI9f*6J9DMGRl38sn3vSev6iUrNahObpWwHBpaJPcbT0bEU2l7-Hjds0mU2Dnk5bg*CkXufkBypskrNfmSH0KG*K5MKu/IMG20140529WA0013.jpg?width=650)
RECHO: Hapa ndipo atakapo anza siku yake ya kwanza leo kwenye makazi yake mapya mbinguni. RECHO: KUZALIWA 1988  KUFARIKI: 2014. UMRI: 26YRS…
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili14 Jun
Virusi vya corona: Je unajua ugonjwa wa corona huenda ulianza mapema mno?
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Tumbua ya Magufuli hawa wamekwenda
Na WAANDISHI Wetu, UWAZI
DAR ES SALAAM: Kazi imeshika kasi! Mpango wa Rais Dk. John Magufuli kutumbua majipu, umesababisha kung’olewa kwa vigogo 34 ambao ni watumishi wa umma huku Usalama wa Taifa wakitajwa kuzizingira nyumba za vigogo hao, Uwazi linakupa zaidi.
Kwenye Mtaa wa Kondo, Bahari Beach, Kata ya Kunduchi, Wilaya ya Kinondoni, Dar, taarifa zinasema siku chache baada ya Rais John Magufuli kutangaza zoezi la kutumbua majipu, maofisa hao walifika katika nyumba hizo na kuzifanyia upekuzi...
11 years ago
Mwananchi24 Jun
FALSAFA MBADALA: Waelimike mapema badala ya kuzaa mapema
11 years ago
Mwananchi12 Jun
Bajeti yetu imekuwa ya mazoea mno
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Ronaldo huijali mno Sanamu yake .
11 years ago
Dewji Blog08 Aug
JK: Tunakwamishwa na uzalishaji na matumizi madogo mno ya umeme
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Goodluck Jonathan wakati muda mfupi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika uliofanyika jijini Washington DC chini ya uenyekiti wa Rais Barack Obama wa Marekani Agosti 6, 2014.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa moja ya sababu kubwa zinazokwamisha maendeleo makubwa zaidi na ya haraka zaidi ya Afrika ni uzalishaji mdogo na matumizi ya chini mno ya...
5 years ago
BBCSwahili17 Feb
Matumizi ya kondomu nchini Nigeria ni machache mno
9 years ago
Bongo515 Dec
Nimekonda sababu nakula mno uroda – Huddah
![12145423_1081744378505341_202051685_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12145423_1081744378505341_202051685_n-300x194.jpg)
Huddah Monroe ni mwanamke anayetumia muda mwingi kusafiri katika nchi mbalimbali na kula bata.
Lakini kingine ambacho anakifanya mara kwa mara ni kula uroda… mara tano, mara sita kwa siku? Jibu analo mwenyewe lakini amekiri kuwa mwili wake umepungua sababu anavunja amri ya sita mara nyingi mno!
Mrembo huyo alipost picha ya kitambo na kuandika:
#TBT! I miss my body like this ! Sema kukonda these past months? Been up and down like an athlete, paper chasin see_no_evil and maybe too much...
11 years ago
Mwananchi16 Jul
Ni vigumu mno kumpata mgombea safi ndani ya CCM