Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIC yasifu kampuni ya EcoEnergy

KITUO cha Uwekezaji (TIC) kimesifu Kampuni ya EcoEnergy Tanzania kwa shughuli zake za kilimo zinazolenga kupunguza uhaba wa sukari na nishati ya umeme. Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Juliet Kairuki, alisema hayo wakati alipofanya ziara ya kutembelea shamba la miwa linalomilikiwa na kampuni hiyo katika bonde la Mto Ruvu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TIC yasaini mkataba wa ushirikiano wa pamoja na Kampuni ya Tanga Fresh Ltd

 Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Bi. Chiku Gallawa (katikati)  akikata utepe kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa programu ya mwaka mmoja ya  kutoa elimu ya biashara kwa wajasiriamali wadogo wapatao 60 kutoka katika vituo mbalimbali vya kupoozeshea maziwa katika mkoa huo mwishoni mwa wiki mjini Tanga.  Programu hiyo itaendeshwa na Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kwa kushirikiana na kampuni ya Tanga Fresh Ltd.  Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Bi. Juliet Kairuki na Meneja Mkuu wa kampuni ya Tanga...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UVCCM yasifu utendaji wa Dk. Shein

JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), imepongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kufikia malengo ya milenia. Pongezi hizo, zilitolewa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yasifu maandamano ya utulivu

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe amesema wamefurahishwa na amani iliyotawala wakati wa maandamano ya kumsindikiza mgombea wa urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Edward Lowassa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuchukua fomu juzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Iran yasifu uhusiano na Uingereza kurudi

Baada ya Iran na Uingereza kufungua balozi zao tena, Iran yasema maingiliano sasa ni ya kuheshimiana

 

10 years ago

Habarileo

Malawi yasifu Tanzania sheria ya ushindani

TANZANIA imetajwa kuwa kivutio cha uwekezaji kibiashara Afrika kutokana na utekelezaji mzuri wa sheria ya ushindani na umakini wa watendaji wake katika kudhibiti soko la ndani dhidi ya bidhaa bandia.

 

10 years ago

Michuzi

TPA YASIFU BENKI KUONGEZA MUDA WA KAZI

 Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo Benki Kuu, Bw. Bernard Dadi (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati wa kutangaza rasmi mabenki kufanya kazi kwa muda wa nyongeza kuwawezesha wateja wa bandari na wadau wengine kufanya malipo hadi saa 2 usiku kwa siku za kazi na saa 8 kwa siku za mwisho wa wiki na sikukuu.  Wengine ni Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Hebel Mhanga (wa pili kushoto), Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Uchukuzi, Bw....

 

10 years ago

Mwananchi

ACT yaanika matumizi yao ya kampeni, yasifu utafiti Twaweza

Chama cha ACT-Wazalendo kimesema hadi sasa kimetumia Sh365 milioni kwa ajili ya kampeni inazofanya nchi nzima kushawishi wananchi wakichague katika nafasi za urais, wabunge na madiwani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TIC yawafunda wafanyabiashara

WAFANYABIASHARA wa Tanzania wameshauriwa kutumia fursa waliyopata wakati wa kongamano la pili la biashara kati ya Tanzania na China kujenga mtandao wa kibiashara utakaodumu kwa faida yao na nchi kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pinda aipa somo TIC

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amekitaka Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kuhakikisha kinafanya kazi na kutoa mchango katika mkakati wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN). Pinda alitoa rai hiyo wakati wa kuizindua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani