Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UVCCM yasifu utendaji wa Dk. Shein

JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), imepongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kufikia malengo ya milenia. Pongezi hizo, zilitolewa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

UVCCM yaeleza Dk. Shein alivyokataa kuburuzwa

hamduNa Mwandishi Wetu, Zanzibar

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi  (UVCCM)  umesema wapambe na vigogo waliompigia debe na kumnadi Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein   kuwania urais mwaka 2010,  hivi sasa wamemgeuka na hata baadhi yao kumuona kikwazo.

Kwa mujibu wa Umoja huo,  vigogo hao sasa wamemgeuka na baadhi yao wanamuona kikwazo kwa msimamo wake wa mapinduzi na kuonekana mtu  asiyeyumbishwa kwa kukataa vitisho.

Kauli hiyo ilitolewa   mjini Unguja jana na Kaimu Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AYAPOKEA MATEMBEZI YA VIJANA WA UVCCM,ZANZIBAR

Vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wakiwa wamebeba Bendera na Picha za Viongozi wakati wa kilele cha matembezi ya Umoja wa UVCCM yenye lengo la kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyopokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo...

 

10 years ago

GPL

DKT. SHEIN APOKEA MATEMBEZI YA VIJANA WA UVCCM HUKO ZANZIBAR

Vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), wakiwa wamebeba bendera na picha za Viongozi wakati wa kilele cha matembezi ya Umoja wa UVCCM yenye lengo la kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyopokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja.…
...

 

10 years ago

GPL

UVCCM ZANZIBAR WAFANYA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO KUUNGA MKONO HOTUBA YA DR.SHEIN‏

Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka akiwahutubia mamia ya vijana baada ya kupokea matembezi ya mshikamano na kufanya mkutano wa hadhara kwenye vianja vya Magogoni Kwa Mabata mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kupongeza hotuba ya Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibr Dr. Ali Mohamed Shein aliyoitoa tarehe 12/1/2015 katika viwanja vya Amani mjini Zanzibar.… ...

 

10 years ago

Michuzi

UVCCM ZANZIBAR WAFANYA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO KUUNGA MKONO HOTUBA YA DKT.SHEIN

Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka akiwahutubia mamia ya vijana baada ya kupokea matembezi ya mshikamano na kufanya mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Magogoni Kwa Mabata mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kupongeza hotuba ya Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibr Dr. Ali Mohamed Shein aliyoitoa tarehe 12/1/2015 katika viwanja vya Amani mjini Zanzibar.

 Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mjini...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA VIJANA UVCCM MKOANI ARUSHA WALAKUTANA KUMJADILI NAIBU KATIBU UVCCM MKOA HUO

???????????????????????????????
Mwenyekiti UVCCM mkoa wa Arusha Robinson Meitinyiku akitoa taarifa ya ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya taarifa za upotoshaji zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari na baadhi ya viongozi wa UVCCM mkoani hapa. Ambao Mkutano huo ulitanguliwa na Kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Arusha waliaofikiana kutoa maamuzi juu ya mgogoro wao na Kaimu Katibu wa UVCCM Mkoa wa Arusha Gerald Mwadalu anayetuhumiwa kufunga ofisi na matumizi mabaya ya fedha za umoja huo.

???????????????????????????????
Katibu wa UVCCM wilaya ya...

 

11 years ago

Habarileo

TIC yasifu kampuni ya EcoEnergy

KITUO cha Uwekezaji (TIC) kimesifu Kampuni ya EcoEnergy Tanzania kwa shughuli zake za kilimo zinazolenga kupunguza uhaba wa sukari na nishati ya umeme. Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Juliet Kairuki, alisema hayo wakati alipofanya ziara ya kutembelea shamba la miwa linalomilikiwa na kampuni hiyo katika bonde la Mto Ruvu.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yasifu maandamano ya utulivu

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe amesema wamefurahishwa na amani iliyotawala wakati wa maandamano ya kumsindikiza mgombea wa urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Edward Lowassa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuchukua fomu juzi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Iran yasifu uhusiano na Uingereza kurudi

Baada ya Iran na Uingereza kufungua balozi zao tena, Iran yasema maingiliano sasa ni ya kuheshimiana

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani