Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIKO: NATAKA MTOTO WA PILI, WA KUNIPA MIMBA SINA

Na Hamida Hassan/Ijumaa
Staa wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan amesema kuwa anatamani kupata mtoto wa pili kwa sababu mtoto wake wa kwanza amefikisha miaka 10, tatizo hana wa kuzaa naye. Staa wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan. Akipiga stori na Ijumaa Tiko alisema yeye ni ‘mgonjwa’ wa watoto wachanga na anahisi sasa ni muda muafaka ila tatizo mwanaume aliyenaye hana mpango wa kupata mtoto. “Yaani acha tu,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Hapa na Pale:Nataka Mtoto wa Pili, wa Kunipa Mimba Sina-TIKO

Mrembo na mwigizaji  wa filamu, Tiko Hassan amesema kuwa anatamani kupata mtoto wa pili kwa sababu mtoto wake wa kwanza amefikisha miaka 10, tatizo hana wa kuzaa naye.

Akizungumza na Gazeti la Ijumaa Tiko alisema yeye ni ‘mgonjwa’ wa watoto wachanga na anahisi sasa ni muda muafaka ila tatizo mwanaume aliyenaye hana mpango wa kupata mtoto.

“Yaani acha tu, mpenzi niliyenaye naona kama hajajiandaa maana hata nikiongelea ishu ya kubeba mimba, naona ananipotezea lakini kiukweli nahitaji mtoto...

 

10 years ago

Bongo5

Amini: Nataka mke wangu ajifungue mtoto wa kiume ili awe mwanasheria

Msanii wa muziki Amini ambaye mke wake ni mjamzito amesema kuwa anaomba mke wake ajifungue mtoto wa kiume ili mwanae aje kuwa mwanasheria na sio mwanamuziki. Katikati ni msanii wa muziki Amini akiwa na mke wake pamoja na mtu wao wa karibu Akizungumza na waandishi wa habari katika sherehe za kuagwa na wanafunzi wenzake wa […]

 

10 years ago

GPL

PENNY: NATAMANI MTOTO, SINA WA KUZAA NAYE

Stori: Imelda Mtema
Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ Penniel Mwingilwa amesema sasa anatamani kuzaa lakini tatizo lipo kwa mwanaume wa kuzaa naye. Penniel Mwingilwa.
Penny alitoa tamko hilo baada ya Diamond kunukuliwa jana (Alhamisi) na gazeti dada la hili, Amani kuwa, alimpa mimba mara mbili binti huyo lakini zikayeyuka katika mazingira ya kutatanisha. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni...

 

10 years ago

Vijimambo

MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI AMTUNDIKA MIMBA MWALIMU WAKE


Hii ni moja ya picha mbalimbali za wajawazito kama inavyonekani siyo ya mwalimu muhusika kwa tukio hilo.

Na Mohab MatukioWAKATI ikiwa imezoeleka kuwa baadhi ya walimu wa kiume huwarubuni wanafunzi wao wa kike na hata kuwaharibia kabisa ndoto zao za kielimu kutokana na kuwapa ujauzito, hali imekuwa tofauti mkoani Rukwa ambako mwanafunzi wa Kidato cha Pili anadaiwa kumzalisha mwalimu wake.

Mwanafunzi huyo aliyemzalisha mwalimu wake ana umri wa miaka 17, wakati mwalimu huyo anayefundisha katika...

 

10 years ago

Bongo5

Lady Jaydee: Sina mtoto wala watoto, Sijajua mpaka sasa nitazaa lini…Accept me the way I am

Lady Jaydee ameendelea kujibu maswali ya mashabiki wake kupitia Instagram, na maswali mengine aliyokutana nayo ni kuhusu kama ana mtoto au ameasili mtoto ambaye huonekana kwenye kipindi chake cha ‘Diary Ya LadyJaydee’ kinachorushwa kupitia EATV. Jide akiwa na Mokonyo (mtoto wa mdogo wake Dabo) “SWALI: Una watoto wangapi? JIBU : Sina mtoto wala watoto SWALI:Utazaa […]

 

9 years ago

Mtanzania

T.I na Tiny wanatarajia mtoto wa pili

2012 MTV Movie Awards - ShowNEW YORK, MAREKANI

MKALI wa hip hop nchini Marekani T.I na mke wake, Tiny wanatarajia kupata mtoto wao wa pili hivi karibuni

Endapo watafanikiwa kupata mtoto huyo basi T.I atakuwa na jumla ya watoto sita, lakini kwa Tiny atakuwa na watoto watatu.

“Ni furaha kubwa kuona familia yetu inaongezeka, tunatarajia kupata mtoto hivi karibuni, hii ni zawadi kutoka kwa Mungu,” alisema Tiny.

T.I ni miongoni mwa wasanii ambao wana watoto wengi nchini Marekani kama vile DMX ambaye ana watoto 12.

Kupitia...

 

11 years ago

GPL

MAMTEI AJIFUNGUA MTOTO WA PILI

Stori: Nyemo Chilongani na Deogratius Mongela MUIGIZAJI wa kike, Cecilia Sospeter ‘Mamtei’ amejifungua mtoto wa kike. Mamtei alijifungua mtoto huyo aliyempa jina la Careen kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jumamosi iliyopita, huku akiwa amezaa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwaye Christopher John. Akizungumza na Ijumaa, Mamtei alisema: “Namshukuru Mungu kwa kujifungua salama, mwanangu...

 

9 years ago

GPL

ESTER AANZA MAANDALIZI YA MTOTO WA PILI

Na Hamida Hassan Staa wa filamu za Kibongo, Ester Kiama amedaiwa kuanza maandalizi ya kupata mtoto wa pili kutokana na uzazi wake kuwa wa tabu. Staa wa filamu za Kibongo, Ester Kiama. Rafiki wa karibu wa staa huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake juzikati alilitonya Ijumaa kuwa, pamoja na Ester kuwa na mtoto mmoja amekuwa ni mtu wa kusumbuliwa na tumbo la uzazi na uzazi wake huwa ni wa tabu hivyo kwa sasa anakesha kwa wataalam wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani