Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ESTER AANZA MAANDALIZI YA MTOTO WA PILI

Na Hamida Hassan Staa wa filamu za Kibongo, Ester Kiama amedaiwa kuanza maandalizi ya kupata mtoto wa pili kutokana na uzazi wake kuwa wa tabu. Staa wa filamu za Kibongo, Ester Kiama. Rafiki wa karibu wa staa huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake juzikati alilitonya Ijumaa kuwa, pamoja na Ester kuwa na mtoto mmoja amekuwa ni mtu wa kusumbuliwa na tumbo la uzazi na uzazi wake huwa ni wa tabu hivyo kwa sasa anakesha kwa wataalam wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DIAMOND AANZA MAANDALIZI KWA AJILI YA MTOTO WAKE WA KIKE

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ameonyesha kuanza maandalizi kwa kijacho wake ambaye imeelezwa ni mtoto wa kike. Diamond na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' wanatarajia mtoto wa kike mwaka huu. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Diamond ametupia picha akiwa na kitanda cha magurudumu kwa ajili ya mtoto mchanga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunahimiza maandalizi raundi ya pili Ligi Kuu

RAUNDI ya pili ya Ligi Kuu Tanzania Bara itaanza Januari 22 kwa timu 14 kuendelea na kampeni ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo unaoshikiliwa na Yanga, waliomaliza ngwe ya kwanza...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mtoto wa boksi’ aanza kupatiwa tiba ya awali

Wataalamu wa magonjwa ya watoto wamesema, Nasra Rashid anatakiwa kupigwa picha ya x-ray ya mwili mzima ili kubaini mwili wake umeathirika kiasi gani na kumpatia tiba stahiki.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto anayelisha familia aanza kupokea misaada

BAADA ya gazeti hili kuandika makala kuhusu mtoto Hamad Nuruabeid (4) anayeishi Mkata Mashariki, wilayani Handeni, Mkoa wa Tanga ambaye analisha familia yake kwa kuokota chupa tupu za maji, ameanza...

 

11 years ago

GPL

MIAKA 2 YA NDOA; AUNT EZEKIEL AANZA KUSAKA MTOTO

MWIGIZAJI nguli katika tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel (pichani) anadaiwa kuanza kusaka mtoto ikiwa ni miaka miwili tangu afunge ndoa na Sunday Dimonte. Muigizaji nguli wa tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel akipozi. Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Aunt, siku si nyingi staa huyo atakwenda kuweka makazi ya muda kwa mumewe Dubai hadi atakapopata ujauzito. Akizungumza na Amani hivi karibuni, rafiki huyo ambaye aliomba jina...

 

9 years ago

Mtanzania

T.I na Tiny wanatarajia mtoto wa pili

2012 MTV Movie Awards - ShowNEW YORK, MAREKANI

MKALI wa hip hop nchini Marekani T.I na mke wake, Tiny wanatarajia kupata mtoto wao wa pili hivi karibuni

Endapo watafanikiwa kupata mtoto huyo basi T.I atakuwa na jumla ya watoto sita, lakini kwa Tiny atakuwa na watoto watatu.

“Ni furaha kubwa kuona familia yetu inaongezeka, tunatarajia kupata mtoto hivi karibuni, hii ni zawadi kutoka kwa Mungu,” alisema Tiny.

T.I ni miongoni mwa wasanii ambao wana watoto wengi nchini Marekani kama vile DMX ambaye ana watoto 12.

Kupitia...

 

11 years ago

GPL

MAMTEI AJIFUNGUA MTOTO WA PILI

Stori: Nyemo Chilongani na Deogratius Mongela MUIGIZAJI wa kike, Cecilia Sospeter ‘Mamtei’ amejifungua mtoto wa kike. Mamtei alijifungua mtoto huyo aliyempa jina la Careen kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jumamosi iliyopita, huku akiwa amezaa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwaye Christopher John. Akizungumza na Ijumaa, Mamtei alisema: “Namshukuru Mungu kwa kujifungua salama, mwanangu...

 

11 years ago

Michuzi

HALMASHAURI NA WADAU WA JIJI LA MWANZA WAANZA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA KUADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA JUNI 16

Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi inayoundwa na wadau wa watoto jijini Mwanza Bw. Godfrey Salumu akifafanua utaratibu mzima wa utendaji kazi wa kamati ndogo ndogo zilizoundwa kwa wajumbe (hawapo pichani) ili kuweza kufanikisha maadhimisho hayo. Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya jiji la Mwanza Bi Eluminata Mwita akisikiliza jambo kwa makini toka kwa wajumbe (hawapo pichani). Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Wanawake na Wasichana, KIVULINI Bw Ramadhani Masele (kushoto)...

 

9 years ago

Mtanzania

Prezzo anatarajia kupata mtoto wa pili

PREZZO (1)NAIROBI, Kenya

NYOTA wa muziki nchini Kenya, Jackson Makini ‘CMB Prezzo’ anatarajia mtoto wa kiume hivi karibuni.

Prezzo amempa jina la Gabriel mtoto huyo kabla hajazaliwa. Msanii huyo mpaka sasa hajaoa, lakini ana mtoto mmoja na sasa anatarajia kupata mtoto wa pili.

“Natarajia mtoto wa kiume siku yoyote, ni furaha kubwa kupata mtoto wa kiume kwa kuwa naamini ataiga mambo yangu mengi, ikiwemo aina ya mavazi ninayopenda kuvaa.

“Nimeamua kumpa jina mapema kabla ya kuzaliwa kwa kuwa najua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani