Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Timu 11 hatarini kushuka daraja

Hesabu ni mchezo wa ajabu. Hivyo, kwa kuangalia mwenendo wa Ligi Kuu msimu huu ambao umekuwa na ushindani mkubwa ndiyo maana kati ya klabu 14 zinazoshiriki ligi hiyo, 11 ziko bado kwenye hatari ya kushuka daraja, iwapo zitateleza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DARAJA LA KIVULE DAR HATARINI KUKATIKA

Daraja linalolalamikiwa na wakazi wa eneo la Kivule jijini Dar. Watembea kwa miguu pamoja na gari wakionekana kupita katika daraja hilo.…

 

11 years ago

GPL

DARAJA LA UBUNGO SAM NUJOMA HATARINI

Maji yakiwa mengi chini ya daraja hilo. Vijana wakichimba mchanga chini ya daraja hilo. Muonekano…

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi ya England timu 20 kushuka dimbani

Jumla ya timu 20 zinazoshiriki ligi ya England zinatarajiwa kushuka dimbani mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

Vijimambo

KLABU YA RUVU SHOOTING YAUNGANA NA POLISI MORO SC KUSHUKA DARAJA LIGI KUU TANZANIA BARA MSIMU WA MWAKA 2014/2015.

Mgambo JKT.
Ndanda FC imefanikiwa kubaki ligi kuu Tanzania bara baada ya kuilaza Yanga SC bao 1-0 katika uwanja wa Nangwanda mjini Mtwara.


Kipigo walichopata Polisi Moro SC cha bao 1-0 dhidi ya Mbeya City kimewafanya kupata tikiti ya kushuka daraja na kuungana na Ruvu Shooting.


Kwa upande wa Stend United yenyewe imepata matokeo mazuri ya bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting na kuinusuru timu hiyo kushuka daraja huku ikiiachia dhahama Ruvu Shooting.

Kikosi cha Prison.

Klabu za Polisi Moro SC na Ruvu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Man U sare na timu ya daraja la pili

Mkufunzi wa Manchester United Louis Van Gaal amesema kuwa kila kitu kilikwenda kinyume na matarajio ya timu hiyo

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Karibuni timu zilizopanda daraja, pole zilizoshuka

>Safari ndefu ya Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara iliyoanza Septemba 20 mwaka jana ilikamilika Jumamosi baada ya mechi 14 za kukamilisha ratiba hiyo kuchezwa kwenye viwanja mbalimbali nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani