Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Timu kumi zafuzu Afrika

Afrika Kusini ni miongoni mwa nchi sita zilizofuzu katika michezo ya juzi kwa ajili ya kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon 2015) na hivyo kufikisha idadi ya nchi 10 ambazo tayari zimefuzu kabla ya mechi za mwisho zitakazochezwa keshokutwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Fainali za Caf 2015: Timu 15 zafuzu

Nchi za Afrika Mashariki zimekosa uwakilishi katika fainali za Caf za 2015 baada ya Uganda kutolewa katika makundi

 

10 years ago

Mwananchi

UDSM kumi bora vyuo vikuu Afrika

Dar es Salaam. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kimeshika nafasi ya kumi miongoni mwa vyuo vikuu 50 bora na vyenye umaarufu Afrika.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mambo kumi yatakayotawala habari Afrika 2016

Mwaka 2016 unatarajiwa kushuhudia mambo mengi kuanzia katika siasa, ambapo nchi nyingi zitafanya uchaguzi, hadi michezoni.

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio list mpya ya wanasoka kumi wa Afrika matajiri 2015 ….

Headlines za mishahara yao mikubwa wanayolipwa katika soka najua umeshaizoea kwa sasa mtu wangu, katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na list mpya ya wanasoka matajiri barani Afrika, katika list hii hakuna sura ngeni sana bado watu wameendelea kumiliki utajiri wao kama kawaida. List hii inaoongozwa na Samuel Eto’o jamaa ambaye amewahi kutwaa tuzo ya […]

The post Hii ndio list mpya ya wanasoka kumi wa Afrika matajiri 2015 …. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA KUMI WA MAENDELEO YA TAKWIMU AFRIKA NCHINI UGANDA

Washiriki kutoka Tanzania wakisikiliza kwa makini mambo yanayoendelea katika Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika uliofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Munyoyo Kampala, Uganda. Kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika Prof. Innocent Ngalinda, katikati ni Meneja wa Takwimu za Kilimo Titus Mwisomba kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu Prof. Milline Mbonile. Washiriki wengine kutoka Tanzania...

 

11 years ago

BBCSwahili

Timu za Afrika zaangushwa Brazil

Timu mbili za mwisho za Afrika katika kombe la duniua zimeondoka Brazil baada ya kushindwa katika awamu ya timu bora kumi na sita.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kombe la dunia:Timu 3 za Afrika zashindwa

Timu tatu kutoka Afrika ziliambulia kichapo katika kombe la dunia la mpira wa pete

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani