Mambo kumi yatakayotawala habari Afrika 2016
Mwaka 2016 unatarajiwa kushuhudia mambo mengi kuanzia katika siasa, ambapo nchi nyingi zitafanya uchaguzi, hadi michezoni.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 Sep
Mambo kumi yaliyotikisa Bunge la Katiba
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Mambo unayoweza kuyafanya kuboresha afya yako 2016
HERI YA MWAKA MPYA! Ni kawaida mtu kujiwekea malengo yake kila unapoanza mwaka, lakini kupitia kona hii ya masuala ya afya, napenda kushea na wewe mambo kadhaa unayoweza kuazimia na kuyafanya mwaka huu na kuboresha afya yako.
Elewa kwamba afya yako iko mikononi mwako, tabia ya maisha unayoishi ndiyo inayoamua afya yako iweje. Chakula unachokula ndicho kinachoamua mustakabali wa afya yako. Kama ulikuwa unayafanya haya, azimia kubadilika mwaka huu:
ACHA SODA
Unene wa kupita kiasi, kisukari,...
9 years ago
Mwananchi04 Jan
MAMBO HALISI : Mwaka 2016 umebeba matumaini ya walio wengi
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Timu kumi zafuzu Afrika
11 years ago
MichuziWASHINDI TUZO ZA HABARI ZA TANAPA 2013 WAENDELEA NA ZIARA YA MAFUNZO KATIKA VYOMBO VYA HABARI AFRIKA KUSINI
10 years ago
Mwananchi21 Apr
UDSM kumi bora vyuo vikuu Afrika
5 years ago
Michuzi
KITUO CHA HABARI, AMANI NA USALAMA BARANI AFRIKA(CIPSA) KIMEWAHIMIZA WATANZANIA KUTUMIA HABARI NA TAKWIMU SAHIHI KWA MAEDELEO
KATIKA kuelekea Siku ya Data wazi Duniani, Asasi ya Kituo cha Habari, Amani na Usalama Barani Afrika(CIPSA) umetoa mwito kwa raia kuendelea utamaduni wa kufuatilia habari sahihi na uwazi ili kuwasaidia katika kusukuma maendeleo yao ya kibinafsi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo hii katika kile alichokiita wiki ya uhamasishaji kupata habari sahihi kuhusu maendeleo yao kuelekea kilele cha siku ya data wazi duniani Machi 7 mwaka huu, Mkurugenzi wa...