Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIMU YA UTUMISHI YAENDA MWANZA KUSHIRIKI MASHINDANO YA MEIMOSI 2015

 Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi Mhe.Celina O.Kombani (Mb) akiwa katika hafla fupi ya kuwaaga wanamichezo wa ofisi yake wanaoelekea katika mashindano ya Meimosi 2015 mkoani Mwanza. Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi Mhe.Celina O. Kombani (Mb)akiagana na wachezaji  wa Ofisi ya Rais-Utumishi wanaokwenda katika mashindano  ya Meimosi 2015 yatakayofanyika jijini Mwanza.Kaimu Katibu Mkuu-Utumishi Bw.HAB Mkwizu (kushoto) akiagana na wachezaji  wa Ofisi ya Rais-Utumishi wanaokwenda...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TIMU YA TAIFA YA KARATE TANZANIA YAJIANDAA KWENDA ALBANIA KUSHIRIKI MASHINDANO YA DUNIA

 Rais wa Shirikisho la Dunia la mchezo wa Karate (UPAM), Profesa  Martina Maurizio (kulia), akiwaelekeza jambo wachezaji wa mchezo huo walioko kambini Dar es Salaam jana. Wachezaji sita wa timu hiyo wanatarajia kuondoka Septemba 28 mwaka huu kwenda nchini Albania kushiriki mashindano ya dunia ya mchezo huo. Wachezaji hao sita wakiwa wameshika bendera ya timu hiyo. Kulia ni  Rais wa Shirikisho la Dunia la mchezo wa Karate (UPAM), Profesa  Martina Maurizio.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball (U18) yashika nafasi ya tatu mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball baada ya ushindi wa nafasi ya tatu (Bronze Medal) katika mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia la Mchezo wa Baseball Umri chini ya Miaka 18. Mashindano hayo yalifanyika nchini Kenya katika mji wa Meru tarehe 15 - 20 Disemba, 2014 na yalikuwa kutafuta tiketi kwa Bara la Afrika ya kushiriki mashindano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika hapo mwakani 2015 katika jiji la Tokyo, Japan.

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA TAIFA YA MCHEZO WA CHESS YAKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KWENDA KUSHIRIKI MASHINDANO YA KIMATAIFA NCHINI NORWAY

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi (kulia), akimakabidhi Bendera ya Taifa, mmoja wa wachezaji wa timu ya Taifa wa mchezo wa Chess, Hemed Mlawa (wa pili kushoto), Dar es Salaam leo asubuhi kwa ajili ya kuondoka kesho kwenda kushiriki mashindano ya kimataifa nchini Norway. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Spicenet, Vinay Choundry ambaye ni muasisi wa mchezo huo hapa nchini, kushoto ni mchezaji Emmanuel Mwaisumbe. Safari hiyo imedhaminiwa na Tanzania Chess...

 

11 years ago

Michuzi

TIMU 16 KUSHIRIKI LIGI KUU MSIMU WA 2015/2016

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuanzia msimu wa 2015/2016 itakuwa na timu 16 badala ya 14 za sasa.
Mabadiliko hayo yamepitishwa na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana jana (Mei 3 mwaka huu) jijini Dar es Salaam baada ya kupokea mapendekezo ya kuongeza idadi ya timu kutoka kwenye Kamati ya Mashindano.
Uamuzi huo umefanywa kwa lengo la kuongeza ushindani katika ligi hiyo, na kuwezesha wachezaji kupata mechi nyingi zaidi za mashindano. Kwa mabadiliko...

 

10 years ago

Michuzi

KAGERA WATUPWA NJE YA MASHINDANO YA WANAWAKE TAIFA CUP KWA MATUTA 4-3 NA TIMU YA MWANZA


Na Faustine Ruta, MwanzaTimu ya Wanawake kutoka Mkoa wa Kagera imetupwa nje ya Mashindano kwa Matuta baada ya kumaliza mtanange wao kwa sare ya Nyumbani ya Ushindi wa 2-1 na  Ugenini,CCM Kirumba Mwanza na Matuta kupigwa na Timu ya Mwanza kuibuka na Ushindi wa bao 4-3. 


Mchezo huo uliochezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba Timu ya Mwanza ndio walianza kupata bao mapema dakika ya 2 kupitia kwa mchezaji wao matata Meriam Kimbuya (10) kwa kukatiza katikati ya mabeki na kufunga bao hilo la kwanza....

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA SHABA FC YAENDA BARAZA LA WAWAKILISHI KUPONGEZWA BAADA YA KUFANIKIWA KUPANDA LIGI KUU YA ZNZ

 Wachezaji wa Timu ya Shaba FC ya Kojani wakiwasalimia Wajumbe wa Baraza la Wakakilishi(hawapo pichani) mara baada ya kuwasili ndani ya Ukumbi wa Baraza hilo leo kwa ajili ya kupongezwa baada ya kufanikiwa kupanda daraja na hivyo kupata Tiketi ya kushiriki Ligi kuu ya Zanzibar mwaka 2014/2015.   Viongozi na Wachezaji wa Timu ya Shaba FC ya Kojani wakiwa katika  Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi leo walipoenda kwa ajili ya kupongezwa baada ya kufanikiwa kupanda daraja na hivyo kupata Tiketi...

 

10 years ago

Bongo5

Vijana waaswa kushiriki mashindano ya teknolojia

Ndoto za wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosoma masomo ya sayansi ya teknokojia ya habari na mawasiliano nchini ya kuwa magwiji wa fani hiyo zinaelekea kutimia. Hali hii inatokana na kuzinduliwa kwa shindano la kusaka vipaji vya ugunduzi wa program za simu – App Star – mwezi huu. Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Abigail Ambweni […]

 

11 years ago

Michuzi

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA KUSHIRIKI KWENYE WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2014

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya unawakaribisha wanachama na wananchi wote kwa ujumla katika banda lake kwenye maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kuanzia tarehe 16 hadi 23/06/2014.

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya utatoa huduma zifuatazo;-
• Elimu kwa Umma juu ya Huduma za NHIF na CHF/TIKA
• Usajili wa wanachama 
• Upimaji wa afya bure kwa wanachama na wananchi wengine na vipimo vitakavyotolewa ni;-
1. Kisukari,
2. Shinikizo la damu, 
3. Hali Lishe
4. Saratani ya matiti.
5. Ushauri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani