Timu za Afrika kufungua kampeini leo
Baada ya Brazil kufungua dimba ,leo ni zamu ya wawakilishi wa Afrika Cameroun .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili30 May
Kampeini kukomesha ndoa za watoto Afrika
10 years ago
MichuziRAIS WA ZIMBABWE ROBERT MUGABE AWASILI JIJINI ARUSHA LEO,KUFUNGUA KONGAMANO LA 3 LA VIONGOZI VIJANA WA AFRIKA NA CHINA
10 years ago
VijimamboRAIS WA ZIMBABWE,ROBERT MUGABE AWASILI JIJINI ARUSHA,KUFUNGUA KOGAMAO LA 3 LA VIONGOZI VIJANA WA AFRIKA NA CHINA LEO
10 years ago
Habarileo26 Aug
Kikwete kufungua Bunge la Afrika Mashariki
RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kufungua kikao cha tatu cha Bunge la Tatu la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), litakaloanza kesho kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Hayo yalibainishwa jana Dar es Salaam na Spika wa EALA, Margaret Nantongo Zziwa alipozungumza na waandishi wa habari.
10 years ago
Habarileo18 May
Kikwete kufungua mkutano Kanda ya Afrika keshokutwa
MKUTANO wa Kanda ya Afrika unaohusu Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi, utafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku tatu kuanzia keshokutwa na utafunguliwa na Rais Jakaya Kikwete.
9 years ago
Bongo513 Sep
Ifahamu sababu ya Facebook kufungua ofisi zake Afrika
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE KUFUNGUA MKUTANO WA TAKWIMU HURIA KANDA YA AFRIKA
Mkutano huo utakaofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete utafanyika tarehe 4 – 5 Septemba, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kauli Mbiu ni “Tumia Takwimu Huria Kuendeleza Afrika” (Developing Africa Through Open Data).
Washiriki takriban...
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KUFUNGUA MKUTANO WA KIKANDA JUU YA UKUAJI NA MAISHA YA BAADAE YA MIJI YA AFRIKA
Mkutano huu uliopewa jina la, ‘Maisha ya baadae ya nchi za Afrika Mashariki: Jinsi gani tunataka kuishi mwaka 2050’, utafanyika katika hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, Kilimanjaro Hotel tarehe 19 na 20 Februari ambapo...
10 years ago
Dewji Blog16 Feb
Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda kufungua mkutano wa kikanda juu ya ukuaji na maisha ya baadae ya miji ya Afrika
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mh. Mizengo Pinda (Mb).
Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa Maendeleo Endelevu (UONGOZI Institute) imeandaa mkutano wa kikanda utakaokutanisha viongozi na watunga sera kutoka nchi za Afrika mashariki kuzungumzia changamoto za ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadaye ya miji ya Afrika.
Mkutano huu uliopewa jina la, ‘Maisha ya baadae ya nchi za Afrika Mashariki: Jinsi gani tunataka kuishi mwaka 2050’, utafanyika katika hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam,...