Tona ya Coraltint katika chupa mpya yazinduliwa
Kampuni kubwa nchini Tanzania inayoongoza katika utengenezaji wa rangi mbalimbali ya Coral paints inaendelea kuonyesha dhamira yake ya dhati kwa wateja wake kwa kuwapatia huduma bora, kuongeza maboresho na ubunifu katika bidhaa zake. Hivi karibuni kampuni hiyo ya rangi imezindua tona mpya chini ya jina la CORALTINT ambayo imeboreshwa na imefanyiwa baadhi ya mabadiliko katika mfuniko wake.
Hatua hiyo ya maendeleo imefikiwa baada ya kupokea maoni na ushauri kutoka kwa wateja wake katika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Dec
SBL yazindua chupa mpya “Tusker 330ml” sokoni
Mkurugenzi Masoko wa kampuni ya bia Serengeti, Bw.Ephraim Mafuru, akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa chupa mpya ya bia ya Tusker yenye ujazo wa milimita 330, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.
Wateja wa bia ya Tusker Lager kwa mara nyingine wamepewa heshima baada ya kampuni ya Serengeti Breweries kuingiza sokoni chupa ya bia mpya inayojulikana kama “Tusker ml330”
Chupa hii mpya imezinduliwa mapema jana -Golden Jubilee Tower iliyoko jijini Dar Es...
11 years ago
MichuziBODI MPYA YA BARAZA LA HABARI YAZINDULIWA
9 years ago
BBCSwahili15 Dec
Filamu mpya ya Star Wars yazinduliwa
5 years ago
MichuziKAMATI YA BAJETI YAELEZA ILIVYOKUWA IKIWASILISHA MAOMBI KWA SERIKALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANO KUOMBA KUONDOLEWA USHURU KWENYE CHUPA ZA MVINYO
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kupitia kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo Mashimba Ndaki amesema kwa miaka mitano sasa kamati hiyo imekuwa ikiwasilisha maombi serikalini ya kuondoa ushuru wa bidhaa kwa chupa zinazotumika kwa ajili ya kufungashia mvinyo unazalishwa nchini.
Akizungumza leo Juni 15,2020 Bungeni Mjini Dodoma Ndaki amesema kwa sasa chupa zinazoingizwa nchini zinatozwa ushuru wa bidhaa kwa asilimia 25, pamoja na tozo nyingine za serikali na hivyo...
11 years ago
Habarileo18 Feb
Njia mpya ya mawasiliano Dar-Zanzibar yazinduliwa
SERIKALI imezindua njia mpya ya mawasiliano inayounganisha Dar es Salaam kwa upande mmoja na Unguja na Pemba kwa upande mwingine.
9 years ago
MichuziKAMPUNI MPYA YA SIMU YAZINDULIWA JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog15 Jul
Simu mpya ya Huawei P8 yazinduliwa kwenye soko la Tanzania
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa kampuni ya Huawei Tanzania, Bw.Samson Majwala akizungumzia ubora wa simu mpya ya Smartphone ya kisasa aina ya Huawei P8 ambayo imezinduliwa leo jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa kampuni hiyo kuleta mapinduzi kwenye nyanja ya mawasiliano ulimwenguni mbele ya jopo la waandishi wa habari pamoja na wadau katika hafla fupi iliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency.
Meneja Mkazi anayeshughulikia bidhaa za kampuni ya Huawei Tanzania, Bw. Zhang...
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Tanzania Media Foundation (TMF) mpya yazinduliwa rasmi!
Mwenyekiti wa Bodi ya TMF Mama Halima Shariff akitoa neno la shukurani baada ya bodi hiyo kuzinduliwa usiku wa Septemba 22.2015, katika ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mama Sihaba Nkinga akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tanzania Media Foundation – Mfuko wa Habari Tanzania – TMF) uliyofanyika usiku wa kuamkia Septemba 22.2015 kwenye ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam. Mfuko huu unachukua...
9 years ago
Bongo509 Nov
Filamu mpya ya James Bond, Spectre yazinduliwa Dar
Mastaa mbalimbali nchini mwishoni mwa wiki hii walijumuika katika uzinduzi wa filamu mpya ya James Bond, Spectre uliofanyika Cape Town Fish Market jijini Dar es Salaam.
Uzinduzi wa filamu hiyo iliyoigizwa na muigizaji wa Uingereza Daniel Craig kama James Bond, uliratibiwa na kampuni ya QWAY International.
Pamoja na Fish Market, filamu hiyo ilizinduliwa kwenye majumba mengine ya sinema nchini na duniani kote.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo mwakilishi wa kampuni ya...