Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPB yawafikia JWTZ

WANAJESHI wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kikosi cha 34 Lugalo, wametakiwa kujiwekea akiba ya malengo maalum ili iwasaidie katika kuinua uchumi wao na hata kutunza familia. Akizungumza na kikosi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yawafikia wakazi wa Sinza

BENKI ya NMB juzi ilizindua rasmi tawi lake Sinza Mori, Kinondoni, jijini Dar es Salaam zikiwa ni harakati zake za kufikisha huduma karibu na wateja. Tawi hilo ambalo limefunguliwa mkabala...

 

9 years ago

Dewji Blog

IT Bridge yawafikia wanafunzi 60,000

IMG_3000

Kamishina wa Elimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Eusella Bhalalusesa akizungumza kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Profesa Sifuni Mchome kuzindua maonesho ya Tehama  yanayoendelea katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Na mwandishi wetu

JUMLA ya wanafunzi 60,000 katika shule 150 nchini wamepitiwa na mafunzo ya programu ya Bridge IT yenye lengo la kuongeza ubora wa elimu kwa kutumia teknolojia...

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAWAFIKIA WAKAZI WA SIHA

Benki ya NMB jana ilizindua rasmi tawi Jipya katika wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro. Tawi hili linakadiriwa kuhudumia Zaidi ya wateja Mia moja kwa siku. Tawi jipya la NMB Siha litakuwa linatoa huduma zote za kibenki kunzia kufungua akaunti mbali mbali za akiba, huduma za mikopo yenye masharti nafuu kwa ajili ya mahitaji yote kwenye soko, huduma za fedha za kigeni, kukusanya mapato na kulipa kwa niaba ya serikali na taasisi mbalimbali, kuweka na kutoa fedha. 
 Tawi la NMB Siha...

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAWAFIKIA WAKAZI WA TANDIKA

       Benki ya NMB juzi ilifungua tawi jipya maeneo ya Tandika- Dar es Salaam tawi linalokadiriwa kuhudumia Zaidi ya wateja 300 kwa siku. Tawi la NMB Tandika lipo maeneo ya Sokoni karibu na kituo cha polisi Tandika katika makutano ya mtaa wa Chihota na Ugweno.Tawi hili linatoa huduma kwa wakazi wa Tandika, Yombo,Buza,Mtongani na maeneo mengineyo. Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Sophia Mjema akikata utepe kuashiria  uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Tandika.  Kutoka kushoto  ni; Kaimu Mkurugenzi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

PSPF yawafikia wasanii na waendesha bodaboda

WASANII, waendesha bodaboda pamoja na wadau wengine kutoka sekta binafsi, jana walinufaika na huduma iliyotolewa na Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) katika Tamasha la Waendesha Bodaboda lililofanyika...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPENI YA ELIMU KWA MLIPAKODI YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA IRINGA


Na Veronica Kazimoto,Iringa

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inaendelea na kampeni ya elimu kwa mlipakodi ambapo kwa sasa inafanya kampeni hiyo katika Mkoa wa Iringa na wilaya zake ikitoa elimu ya kodi kwa kuwatembelea wafanyabiashara mbalimbali kwenye biashara zao.

Akizungumzia kampeni hiyo, Afisa Msimamizi Mkuu wa Kodi Bi. Rose Mahendeka alisema kuwa TRA imejipanga kuwafikia wafanyabiashara mahali walipo ili kuwapatia elimu ya kodi ikiwa ni pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili na...

 

9 years ago

Michuzi

KAMPENI YA NSSF KWANZA YAWAFIKIA WATU WENGI MKOANI MBEYA


Wananchi wa Kijiji cha Igamba ambao ni wakulima wa Kahawa wakipiga picha ya pamoja baada ya kupata elimu na kujiunga na NSSF kama wanachama wa Hiari chini ya Mpango wa Wakulima Scheme ambao utawasaidia Kupata Matibabu bure na Kujipatia Mikopo ya pembejeo.Maafisa wa NSSF mkoa wa Mbeya wakiwaandikisha watu kutoka Sekta binafsi waliokusanyika kwenye kituo cha mabasi cha mbalizi kwenye kampeni maalum ya NSSF ya kutoa elimu na kuandikisha wanachama Mkoani mbeya ili kuongeza wigo wa wanachama.

 

10 years ago

Michuzi

Kampeni ya Usalama barabarani ya“Wait to Send”yawafikia madereva Mbeya

Ofisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Mbeya Mapunda Ahmed (kulia)akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva wa basi la kwenda mikoani, Simon Mwalugu kwa kutumia kifaa maalum wakati wa upimaji madereva ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani ya”Wait to Send” unaohamasisha madereva wa vyombo vya moto kutokutumia simu za mkononi wakati wakiwa wanaendesha vyombo hivyo.Katikati ni Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya Nyanda za juu kusini Macfadyne...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani