TPDC: Mishahara haijaombwa kwa watumishi wote
Siku moja baada kuibuliwa pendekezo na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuongeza mishahara watumishi wake, Mkurugenzi wa Masoko wa TPDC, Joyce Kisamo amesema fedha hizo hazijaombwa kwa ajili ya wafanyakazi wote na ametetea viwango hivyo kuwa vipo chini ya hali halisi ndani ya sekta ya gesi na mafuta nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MARA YA KWANZA NA WATUMISHI WOTE WA WIZARA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Libarata Mulamula akizungumza katika kikao chake cha kwanza na Watumishi wote wa Wizara tangu alipoteuliwa na Rais hivi karibuni kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Mkutano huo ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Juni, 2015. Pamoja na mambo mengine Balozi Mulamula aliwahimiza Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje...
10 years ago
Habarileo22 Sep
Kodi katika mishahara ya watumishi kupunguzwa
SERIKALI imesikia kilio cha watumishi wa umma, baada ya kuahidi kupunguza viwango vya makato ya kodi katika mishahara ya watumishi hao kutoka asilimia 12 za sasa hadi kiwango kinachofikia tarakimu moja.
10 years ago
Habarileo06 May
Yashauriwa mishahara watumishi wa umma kuongezwa
KATIBU Mtendaji wa Tume ya Mipango nchini, Dk Philip Mpango ameishauri kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kuisisitiza serikali kuongeza mishahara ya watumishi wa umma na kupunguza kodi inayokatwa kwenye mishahara hiyo.
10 years ago
Dewji Blog19 Sep
Serikali: Mishahara ya watumishi umma kulipwa kupitia akaunti
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Serikali imeagiza watumishi wote wa umma walipwe mishahara moja kwa moja kupitia akaunti zao sahihi za benki ambazo zitatumika kupitishia mishahara yao.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba alipokuwa akiongea na waandishi wa habari ofisi za Hazina leo jijini Dar es salaam.
“Mishahara ya Watumishi wote wa Serikali, wakala na taasisi za umma italipwa moja kwa moja kupitia akaunti zao za banki” alisema...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-SWao2D0yDpk/U_dojK2WAnI/AAAAAAAGBec/rKrd2ifPCRA/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
Serikali yatoa ufafanuzi malipo ya mishahara ya watumishi ya mwezi Julai
![](http://2.bp.blogspot.com/-SWao2D0yDpk/U_dojK2WAnI/AAAAAAAGBec/rKrd2ifPCRA/s1600/unnamed%2B(25).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-FKFXP-ppbBU/U_dolD_hMZI/AAAAAAAGBek/W7fya7AVUfE/s1600/unnamed%2B(26).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/G8icHtTqOlI/default.jpg)
9 years ago
MichuziViongozi wateule wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakutana na Watumishi wote
11 years ago
Mwananchi13 Jun
BAJETI 2014/2015: Kodi ya mishahara yapungua kiduchu, mishahara juu
9 years ago
VijimamboWATUMISHI HOUSING COMPANY, BENKI YA CRDB WATIA SAINI MKATABA WA MIKOPO YA NYUMBA KWA WATUMISHI WA UMMA
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo (kulia), akitia saini mkataba huo. Kutoka kushoto ni Chief Operation Officer wa WHCTZ, Weja Ng'olo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa TMRC, Oscar Mgaya, Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dk.Fred Msemwa na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Charles Kimei.