Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPHA washauri wataalamu kutumia mitandao ya kijamii

DSC_1015

Andrew Chale ambaye pia ni mwandishi wa habari wa Tanzania Daima akichangia mada juu ya umuhimu wa matumizi ya mitandao ya kijamii ikiwemo facebook,blogs,website, whatsapp na mingineo.

Wataalamu  wa Afya wameshahuriwa kutumia mitandao ya kijamii katika kuwafikia watu mbalimbali katika sekta ya afya.

Hayo yamesemwa kwenye kongamano la 31 la Kisayansi na Mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA) unaoendelea katika ukumbi wa Stella Maris, Bagamoyo.

Mada hiyo imewakilisha...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA FAIDA


Muongozaji wa majadiliano Bw. Michael Gwimile akifafanua jambo wakati wa mkutano wa majadiliano uliowashirikisha wadau mbalimbali wa Habari ulioandaliwa na MISA-Tan na kufanyika hivi karibuni Jijini Dodoma.Muongozaji wa majadiliano Mrakibu Msaidizi wa Polisi Bw. Athumani Mtasha akifafanuakuhusu nafasi ya polisi katika kudhibiti makosa ya kimtandao na ushirikiano na vyombo vya Habari wakati wa mkutano wa majadiliano ulioandaliwa na MISA-Tan na kufanyika jijini Dodoma.Washiriki wa mkutano wa...

 

10 years ago

Vijimambo

KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII SI DHAMBI, TUITUMIE VIZURI KWA MALENGO YALIYOKUSUDIWA.

Meneja mawasiliano wa mamamlaka ya mawasiliano Tanzania ( TCRA) Bwn. Innocent Mungy akisisitiza jambo
Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM. 23/09/2014. Mitandao ya kijamii ni mizuri katika kuhabarisha umma endapo inatumiwa kulingana na madhumuni iliyotengenezwa, kwani ina nguvu ya kusambaza habari kwa haraka na kwa wakati hapa duniani. Pamoja na umuhimu nwa mitandao hii ya kijamii, kuna baadhi ya watu ambao wao hujiona kuwa wameendelea katika ulimwengu wa kisayansi na teknolojia kiasi cha kuanza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shamim Mwasha atoa mada namna kutumia mitandao ya kijamii kwa manufaa kwenye semina ya taasisi ya Manjano

Mkurugenzi Mtendaji 8020 Fashion na  Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha akitoa mada kwenye Semina ya kuwawezesha  wanawake kuwa wajasiriamali kupitia vipodozi vya Luv Touch Manjano iliyoandaliwa na Manjano Foundation kwa lengo la kuwajengea udhubutu wanawake  kufanya biashara pia namna ya kujiwekea akiba na kutumiza malengo yao. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions Ltd. Mkurugenzi wa Manjano Foundation, Mama Shekhar Nasser.

Washiriki wakimsikiliza...

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MTENDAJI WA 8020 FASHIONS SHAMIM MWASHA ATOA MADA NAMNA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA MANUFAA KWENYE SEMINA YATAASISI YA MANJANO

Mkurugenzi Mtendaji   8020 Fashion na  Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha Akitoa Mada kwenye Semina ya Kuwawezesha  Wanawake Kuwa Wajasiriamali kupitia Vipodoz Vya Luv Touch Manjano Iliyoandaliwa na Manjano Foundation Kwa Lengo la Kuwajengea Udhubutu Wanawake  Kufanya biashara pia namna ya Kujiwekea Akiba na Kutumiza Malengo yao.Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd. Mkurugenzi wa Manjano Foundation Mama Shekhar NasserWashiriki wakimsikiliza Kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Kampeni zatawala mitandao ya kijamii

Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikipamba moto majukwaani, matumizi ya mitandao ya kijamii imeshika kasi kwa makundi na watu binafsi kuitumia kuwanadi wagombea wao.

 

10 years ago

Habarileo

Mitandao ya kijamii wapewa somo

Innocent MungyWATUMIAJI wa mitandao ya kijamii nchini wametakiwa kujiandaa kutumia sheria mpya ya mawasiliano iliyopitishwa bungeni hivi karibuni.

 

11 years ago

Mwananchi

Mitandao ya kijamii sasa kudhibitiwa

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu taarifa zote zinazopakiwa mtandaoni ili kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji vinavyofanywa na watu wasio na maadili ya uandishi wa habari.

 

9 years ago

Mwananchi

Mpinga ajivunia mitandao ya kijamii

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga amesema mitandao ya kijamii kama vile Whatsapp, Facebook na Instagram imesaidia kupunguza ajali.

 

11 years ago

BBCSwahili

Gumzo kwenye mitandao ya kijamii

Kwani mtindo wa nywele au ushungi wa mtu unasema chochote kuhusu tabia au mwenendo wa mtu huyo?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani