‘Treni ya Mwakyembe’ kurejea Jumatatu
UONGOZI wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), imesitisha huduma ya usafiri wa treni jijini Dar es Salaam, maarufu kama ‘ Treni ya Mwakyembe’ hadi keshokutwa itakaporejea kama kawaida. Kwa mujibu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi23 Aug
Treni ya Mwakyembe kurejea tena
Miezi kadhaa baada treni ya kubeba abiria jijini Dar es Salaam kusitisha safari zake kutokana na ubovu, imeelezwa kuwa hali hiyo ni kutokana na uchakavu wa injini.
11 years ago
Habarileo15 Jul
Akemea wanaoiibia treni ya Mwakyembe
NAIBU Waziri wa Uchukuzi, Dk Charles Tizeba amekemea baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wanaohujumu huduma ya usafiri wa treni ya Jiji, maarufu ‘ treni ya Mwakyembe’ kwa kuiba mapato.
11 years ago
Mwananchi20 Jun
Treni ya Mwakyembe yasitishwa kwa siku 3
 Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) imesitisha usafiri wa treni jijini Dar es Salaam kwa siku tatu kutokana na sababu za kiufundi.
10 years ago
GPLTRENI YA MWAKYEMBE DAR YASITISHWA GHAFLA, WANANCHI WALALAMIKA
JIJI la Dar es Salaam ambalo lilikuwa limepiga hatua ya maendeleo kwa kuwa na treni ya mjini, limepata pigo baada ya huduma ya usafiri wa treni hiyo kusitishwa. Wiki iliyopita nilipata nafasi na kwenda kuchunguza kama kweli treni hiyo ya kutoka Ubungo hadi katikati ya mji kama kweli huduma imesitishwa, nikathibitishiwa kuwa kweli hakuna usafiri huo. Kama Mwanafukunyua Fukunyua, nilijitahidi kuwahoji askari waliokuwepo kwenye...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0gGC4ZQuxjPxKR4AR6ym64YK6LYDqbCoSzQRkY-7x7yPP3CF-ji8JyaSV-r-aJPMZ4wmYoyqI20NZh6eFC351XIZ5z2IrYaD/deluxe.jpg?width=650)
SAFARI YA TRENI YA DELUXE KWENDA KIGOMA YAAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU
Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) unasikitika kuwataarifu abiria wa treni ya Deluxe ya kwenda Kigoma leo Mei 17, 2015 saa 2 usiku kuwa safari hiyo imeahirishwa hadi kesho Jumatatu Mei 18, 2015 saa 2 usiku. Kwa mujibu wa taarifa hiyo sababu za kuahirishwa zinatokana na ajali mbili mfululizo za treni za mizigo. Ajali ya kwanza ilitokea asubuhi saa 1:30 maeneo ya Stesheni ya Ngeta mkoa wa Pwani na...
10 years ago
Michuzi13 Nov
Huduma ya Treni ya Jiji yaahirishwa kuanzia leo hadi Jumatatu Novemba 17, 2014
Ufafanuzi wa sababu za kusitishwa huduma umeeleza kuwa kichwa kimojawapo ambacho hutoa huduma kimepelekwa Karakana Kuu ya Morogoro kwa ajili ya ukarabati maalum na kwamba kinatarajiwa kurejeshwa Dar es Salaam jioni ya siku ya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-I5aUJzIH8ow/VViD6B4zH_I/AAAAAAAHXwg/gp4cbIPHaJ8/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
TRENI YA DELUXE KWENDA KIGOMA YAAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU!
![](http://2.bp.blogspot.com/-I5aUJzIH8ow/VViD6B4zH_I/AAAAAAAHXwg/gp4cbIPHaJ8/s640/unnamed%2B(6).jpg)
Kwa mujibu wa taarifa hiyo sababu za kuahirishwa zinatokana na ajali mbili mfululizo za treni za mizigo.
Ajali ya kwanza ilitokea asubuhi saa 1:30 maeneo ya Stesheni ya Ngeta mkoa wa Pwani na ya pili saa 5 asubuhi maeneo ya Stesheni za Kinguruwila na Morogoro!
Ajali hizo...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_J_NgJ258yY/VO4pYlWbh2I/AAAAAAAHF2w/wzD8sewVLIE/s72-c/download%2B(1).jpg)
KUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA JIJI KUANZIA JUMATANO FEBRUARI 25, 2015 HADI JUMATATU MACHI 02, 2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-_J_NgJ258yY/VO4pYlWbh2I/AAAAAAAHF2w/wzD8sewVLIE/s1600/download%2B(1).jpg)
Kwa mujibu wa taarifa ya Uongozi wa TRL iliotolewa jioni leo Februari 25, 2015 uamuzi wa kusitisha huduma hiyo umesababishwa na vichwa viwili vya treni hiyo kuharibika na kuhitaji matengenezo makubwa katika Karakana Kuu ya Morogoro .Taarifa imefafanua kuwa kwa vile kimebaki kichwa kimoja...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qEMni6Z3hBE/VOUKOCZFJMI/AAAAAAAHEbQ/DsI15vPWE7c/s72-c/DSC07352.jpg)
ABIRIA WA TRENI MKOANI DODOMA KUTUMIKA KITUO KIDOGO CHA KATOSHO BADALA YA STESHENI YA TRENI YA KIGOMA KWA TRENI ZA ABIRIA KUANZIA FEBRUARI 18, 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-qEMni6Z3hBE/VOUKOCZFJMI/AAAAAAAHEbQ/DsI15vPWE7c/s1600/DSC07352.jpg)
Kwa mujibu wa wa taarifa ya Uongozi wa TRL lilitolewa Februari 16, 2015 uamuzi wa treni kutofika katika stesheni ya Kigoma unatokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini Kigoma na hivyo kuzoa mchanga ambao umefunika tuta la reli katika eneo la stesheni ya Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo abiria wote...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania