Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRENI YA MWAKYEMBE DAR YASITISHWA GHAFLA, WANANCHI WALALAMIKA

JIJI la Dar es Salaam ambalo lilikuwa limepiga hatua ya maendeleo kwa kuwa na treni ya mjini, limepata pigo baada ya huduma ya usafiri wa treni hiyo kusitishwa. Wiki iliyopita nilipata nafasi na kwenda kuchunguza kama kweli treni hiyo ya kutoka Ubungo hadi katikati ya mji kama kweli huduma imesitishwa, nikathibitishiwa kuwa kweli hakuna usafiri huo. Kama Mwanafukunyua Fukunyua, nilijitahidi kuwahoji askari waliokuwepo kwenye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Treni ya Mwakyembe yasitishwa kwa siku 3

 Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) imesitisha usafiri wa treni jijini Dar es Salaam kwa siku tatu kutokana na sababu za kiufundi.

 

11 years ago

Habarileo

Akemea wanaoiibia treni ya Mwakyembe

NAIBU Waziri wa Uchukuzi, Dk Charles Tizeba amekemea baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wanaohujumu huduma ya usafiri wa treni ya Jiji, maarufu ‘ treni ya Mwakyembe’ kwa kuiba mapato.

 

9 years ago

Mwananchi

Treni ya Mwakyembe kurejea tena

Miezi kadhaa baada treni ya kubeba abiria jijini Dar es Salaam kusitisha safari zake kutokana na ubovu, imeelezwa kuwa hali hiyo ni kutokana na uchakavu wa injini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Treni ya Mwakyembe’ kurejea Jumatatu

UONGOZI wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), imesitisha huduma ya usafiri wa treni jijini Dar es Salaam, maarufu kama ‘ Treni ya Mwakyembe’ hadi keshokutwa itakaporejea kama kawaida. Kwa mujibu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi walalamika kuhujumiwa mradi wa DART

BAADHI ya wananchi wameelezea kusikitishwa na mwenendo wa uharibifu unaozidi kushika kasi katika miundombinu ya mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT). Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wananchi hao walisema uharibifu huo...

 

10 years ago

Michuzi

HUDUMA YA TRENI YA DELUXE KUSIMAMA KATIKA KITUO CHA NGURUKA KUANZIA TRENI ITAKAYOANDOKA DAR JUMAPILI IJAYO MEI 17, 2015

Uongozi wa Kampuni  ya Reli Tanzania  –TRL unachukua  fursa hii kuwataarifu wateja wetu wote na Watanzania kwa ujumla na hasa maeneo ya kituo cha Reli cha Nguruka mkoani Kigoma, kuwa treni yetu maarufu ya Deluxe itasimama kituoni hapo kuteremsha na kupakia  abiria.
Kwa taarifa hii ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na Wakazi wa maeneo yanayozunguka kituo cha  Nguruka, shime  wajitokeze kwa wingi kukata tiketi za safari kwa mujibu wa mahitaji yao . Halikadhalika safari za deluxe zitakuwa wiki...

 

11 years ago

Michuzi

Wabunge kutoka Nchi Wanacham wa Jumuiya ya Madola (CPA) walalamika kufanywa “ATM” na wananchi

   Mjumbe kutoka Tanzania Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na wabunge wengine kutoka nchi washiriki wakifuatilia mada kwa makini    Katibu Mkuu wa CPA Dkt. William shijja akifafanua jambo wakati Mnadhimu Mkuu wa Serikali katika Bunge la Ghana ambaye pia ni Waziri anayeshughulikiwa maswala ya Bunge Dkt. Benjamini Bewa- Nyang Kunbour akiwasilisha mada yake kuhusu Mahusiano  ya Mbunge na chama chake wakati wa siku ya pili ya semina ya 25 ya Chama cha Mabunge wanachama wa jumuiya ya Madola CPA

 

9 years ago

Global Publishers

Bomoabomoa yasitishwa Dar es Salaam

1Mawakili wa upande wa serikali na walalamikaji wakiandaa nakala zao kabla ya madai hayo kusikilizwa.2Wakazi wa Kinondoni wakipongezana baada ya kupokea taarifa za kusitishwa kwa bomoabomoa kwenye makazi yao.

3 Askari wakidumisha usalama.

MAHAKAMA ya Ardhi jijini Dar imesimamisha zoezi la bomoabomoa iliyowakumba wakazi maeneo ya mabondeni wa Wilaya ya Kinondoni baada ya wakazi hao kufikisha ombi hilo mahakamani hapo mapema wiki iliyopita.

Ombi hilo lilitokana na malalamiko ya wakazi wengi...

 

10 years ago

Habarileo

Madereva daladala, abiria Dar walalamika

BAADHI ya abiria na madereva wa daladala katika eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam wamelalamikia kutowekwa vibao vya kuelekeza kufungwa kwa vituo vya mabasi vilivyokuwa vikitumika eneo la Ubungo baada ya kuhamishiwa kituo kipya cha mabasi cha Simu 2000.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani