Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Treni yaumiza watu Kibera, Nairobi

Watu wamenasa chini ya treni iliyopinduka mtaa wa maskini wa Kibera, Nairobi, na nafasi ni haba mno kwa kazi za uokozi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Watu binafsi kumiliki treni

Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) inatarajiwa kupata ushindani baada ya Serikali kuamua kuruhusu wawekezaji wa sekta binafsi kutumia Reli ya Kati.

 

10 years ago

Michuzi

ABIRIA WA TRENI MKOANI DODOMA KUTUMIKA KITUO KIDOGO CHA KATOSHO BADALA YA STESHENI YA TRENI YA KIGOMA KWA TRENI ZA ABIRIA KUANZIA FEBRUARI 18, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitka kutangaza kuwa treni za abiria za kwenda Kigoma hazitofika katika stesheni ya Kigoma badala yake zitatumia kituo kidogo cha Katosho.
Kwa mujibu wa wa taarifa ya Uongozi wa TRL lilitolewa Februari 16, 2015 uamuzi wa treni  kutofika katika stesheni ya Kigoma  unatokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini  Kigoma na hivyo kuzoa mchanga ambao umefunika tuta la reli katika eneo la  stesheni ya Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo abiria wote...

 

11 years ago

GPL

WATU 6 WAUAWA KWA MILIPUKO NAIROBI

Mmoja wa majeruhi akipatiwa huduma ya kwanza. WATU sita wanadaiwa kupoteza maisha wakati 10 wakijeruhiwa baada ya milipuko miwili kutokea eneo la  Eastleigh jijini Nairobi, Kenya jana usiku. Milipuko hiyo ililipuliwa na magaidi katika mghahawa mdogo na kituo cha mabasi kilichopo eneo hilo la Eastleigh. Polisi wameeleza kuwa waliopoteza maisha walikuwa wamekwama ndani ya mghahawa huo wakati wakisubiri kununua chakula cha usiku....

 

11 years ago

BBCSwahili

Mlipuko wawaua watu wanne jijini Nairobi

Watu wanne, wakiwemo maafisa wawili wa polisi, wameuawa jana usiku mjini Nairobi baada ya gari walilolizuia kulipuka.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATU WANNE WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA TRENI MKOANI MOROGORO LEO ALFAJIRI

Watu wanne wamefariki dunia na 21 kujeruhiwa baada ya basi aina ya Isuzu  kugonga treni ya abiria iendayo bara katika  kilomita 276/0 kati ya Stesheni  za Kimamba na Kilosa mkoani Morogoro saa 11:25 asubuhi leo Julai 01, 2015. Wahanga walipakiwa katika  treni hiyo na kukimbizwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa.Basi lilohusika ni lenye namba za usajili T837CTM Isuzu Coaster linalomilikiwa na Feisal  A. Khuwel wa Kilosa.Taarifa kutoka eneo la tukio  limefafanua kuwa waliofariki ni wanaume...

 

10 years ago

BBC

Kibera gets a revamp

Africa's biggest slum - now with roads, toilets and wifi

 

9 years ago

Mwananchi

Treni ya mizigo yaanguka, abiria 1,000 wa treni wakwama Dodoma

Zaidi ya abiria 1,000 waliokuwa wakisafiri kwa treni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mikoani ya Kigoma na Mwanza wamekwama mkoani hapa baada ya treni ya mizigo kuanguka kati ya Kituo cha Itigi na Kitalaka.

 

9 years ago

Bongo5

Morgan Heritage watumia picha ya kampeni za CCM Mwanza kudai ni watu waliohudhuria show yao ya Nairobi

Kundi la reggae kutoka Jamaica linaloheshimika zaidi duniani, Morgan Heritage limeamua kwa kujua au kwa kutokujua kuudanganya umma! Kupitia Facebook, mmoja wa waimbaji wa kundi hilo, Gramps Morgan, alipost picha ya nyomi la watu wenye mavazi ya kijani na njano na kuandika: “Much love to all our Kenyan fans it was a pleasure to perform […]

 

10 years ago

Mtanzania

Barua ya Gwajima yaumiza kichwa polisi

Kamishna Suleiman Kova

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova

Na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekiri kupokea barua iliyotolewa na mawakili wa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ya kulitaka kuonyesha kifungu cha sheria kinachomtaka mtu kutoa hati ya mali anazozimiliki.
Hata hivyo, jeshi hilo limekataa kuzungumzia chochote kuhusu barua hiyo, lakini limeahidi kuijibu baada ya kuwasiliana na mpelelezi wa kesi hiyo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani